Kashfa mpya jeshi la polisi

Kashfa mpya jeshi la polisi

Hivi hii inji ya tanganyika ni nani aliyeturoga? Haya ni matunda ya serikali 'sikivu' ya CCM.

tpaul;
Kwa kuwa serekali hii ya ccm ni sikivu saana, tunaipa ushauri, wasikurupuke na majigambo mengi kwani hao hao Makamanda wa mikoa, wanajiamini vipi kwa vyeti vyao??
Serekali ya ccm ukitaka usiguswe, jua tu Kuwapiga tuuuu. Jua kuwafyatulia mabomu wapinzani hakuna wa kukuchunguza tena bali ngojea cheo. Tupo hapa, hakuna lolote ni Upepo tu unatikisa miti, tawi laini litavunjika sio lililo komaa.
 
Mungu hamtupi mja wake!! Huu bi upepo tu nao hutapita salama. Amen!!
 
Mi sijawahi kughushi. KAMA ULIGHUSHI WEWE USIDHANI NI WOTE. Koma kama ulivyokoma kunyonya titi la mama yako.
Nadhani nawe ni miongoni mwa hao mapolisi wagushi wa vyeti. Pisheni vijana wasomi waingie wapige kazi na kuwadhibiti hao mnaodhani kuwa watakuwa boko haram.

sasa uharo gani huu umeandika au umetoka kupumuliwa ukaibukia JF kumalizia hasira zako kwa comment za watu? eti hujawa kughushi..kughushi sio lazima kiwe cheti hata hapa JF jina unalotumia umeghushi vile vile....

nitolee harufu za shombo mwana laana wewe na ukome kutaja mama za watu kwenye comments...au kwa vile wewe ulilala na mama yako mzazi basi unadhani wote tuna laana hiyo?
 
!
!
kumbeee!?...unakuta polisi kakomalia kuwapiga wanafunzi wa vyuo katika migomo yao,kumbe ni wivu tu!.. ptuu
 
!
!
kumbeee!?...unakuta polisi kakomalia kuwapiga wanafunzi wa vyuo katika migomo yao,kumbe ni wivu tu!.. ptuu
 
Jamani kuweni serious! vyeti ndio utendaji wa kazi au utambulisho wa kuhitimu! maana unaweza kuchukua hao wenye vyeti halafu utendaji wao ukawa mbovu.Maana tunashuhudia ktk siasa baadhi ya watendaji ni maprofesa lakini ukicheki wanachokifanya inasikitisha mfano prof kapuya,Prof maghembe nk.
 
tumpongeze IGP MANGU NI MTU makini hana doa ya rushwa ila tumwombee Mungu maadui wanaomchukia kazini ni wengi na mpaka amalize mda wake kila mtanzania atasifia jeshi la polisi.

Mangu ameruhusu askari wengi kujiendeleza kimasomo pia jeshi kwa sasa inaajiri vijana wenye taaluma

UTII WA SHERIA BILA SHURUTI

Lets wait and see,,lakini pia ana changamoto nyingine,,kuna mizee haitaki kustaafu kazi,,kila muda ukifika inaomba mkataba kwa lobbying za hapa na pale,,Mangu should not entertain this,,mtu muda wake ukifika aondoke!,,anayepewa mkataba kumbuka hana cha kupoteza!! kwake ni bora liende hawa wanaweza kumwangusha maksudi
 
Kama walifaulu mafunzo ccp wawaache tu waendelee na kazi lakini wavuliwe vyeo walivyopata kwa kugushi
 
Kama walifaulu mafunzo ccp wawaache tu waendelee na kazi lakini wavuliwe vyeo walivyopata kwa kugushi



Nakubaliana na wewe kabisa.Kama hawatawapeleka mahakamani hakuna haja ya kuwafukuza mana haki itakua haijatendeka.
Mahakama ndicho chombo pekee chenye kutenda haki na kuthibitisha kwamba walighushi vyeti.
 
Najaribu kufikiria lakini napata ugumu kdg, inavyoonyesha ni asilimia kubwa sana ya polisi wamefoji vyeti, nadhani wangewaacha wamalizie kazi na wastaafu, wanachotakiwa kufanya ni kuangalia secretarieti ya uajili iwe makini na wasirudie kufanya makosa km hayo vinginevyo itatuletea shida sana huku mitaani na kwenye familia za wahusika!
 
Wawatoe bana kama walikwepa umande kwa kudhani maisha ni mtelemko , kuna wenye vigezo wapewe nafasi hizo.
 
Back
Top Bottom