Kashfa kubwa ya ufisadi yaitafuna CHADEMA

Karibu magari yote yanayonunuliwa na watu binafsi Tanzania ni used. Hata mimi nanunua magari used. Tangu lini ikawa ufisadi kununua gari used?

Ufisadi ungekuwepo kama kuna rushwa imetumika, lakini kununua magari used per se ni umasikini tu, sio ufisadi.
 
Chama ni taasisi yatakiwa kiwe na utaratibu wa kununua magari mapya!!!Hata bungeni mwaka juzi wabunge wa CDM wakipinga suala la kununua mitambo chakavu ya Richmond. AMA MKUKI KWA NGURUWE, KWA BINADAMU!!!!!!!!!!!!!!! :A S cry:
 
Mnaonyesha jinsi msivyojali fedha za umma!!...maamuzi yaliyofanywa ni ya kijinga,afadhali used european/japanese cars
 
Jamani nyinyi makada wa ccm mlioko huku hamuwezi kukaa hata siku moja bila kuichafua Chadema?
Mosi, tangu lini ufisadi ukajadiliwa ktk vikao kama kamati kuu yenye PHD holders 'madokta' na maprofesa kibao na kuamuliwa kwa vikao rasmi? Huu ni uzushi.

Mosi, Dr Mkumbo kitila alikuwepo kwenye vikao vya kamati kuu. Hakupinga jambo lolote kikaoni wala hakuongea cho chote na waandishi wa habari. Hivyo, huu ni uzushi.

Pili, Chadema hatuna sera inayozuia ununuzi wa vitu vilivyotumika. Labda tuiweke sasa if need be. Kwa hiyo, kama kamati kuu iliamua kununua magari yaliyotumika kwa sababu hatuna fedha nyingi kama Mafisadi. What is wrong about that, as long as vikao husika tena vyenye 'madocta na maprofesa' vimejadili na kuamua hivyo.
 
Humu ndani kuna watu wenye akili changanyika, hivyo wakati kikao kinaendelea kanuni na demokrasia zinatoa maazimio ya mwisho. Sasa mtu akichangia, ua tu akawa anachokonoa tu kitu, wewe unachukulia ndio uamuzi wa mwisho. Hawa ni ccm wenye nia ya kuchafua CDM. Hawa ni wezi wa EPA NK.:A S-baby:
 
Jamani nyinyi makada wa ccm mlioko huku hamuwezi kukaa hata siku moja bila kuichafua Chadema?
Mosi, tangu lini ufisadi ukajadiliwa ktk vikao kama kamati kuu yenye PHD holders 'madokta' na maprofesa kibao na kuamuliwa kwa vikao rasmi? Huu ni uzushi.

Mosi, Dr Mkumbo kitila alikuwepo kwenye vikao vya kamati kuu. Hakupinga jambo lolote kikaoni wala hakuongea cho chote na waandishi wa habari. Hivyo, huu ni uzushi.

Pili, Chadema hatuna sera inayozuia ununuzi wa vitu vilivyotumika. Labda tuiweke sasa if need be. Kwa hiyo, kama kamati kuu iliamua kununua magari yaliyotumika kwa sababu hatuna fedha nyingi kama Mafisadi. What is wrong about that, as long as vikao husika tena vyenye 'madocta na maprofesa' vimejadili na kuamua hivyo.

Mkuu, hapo kwenye blue unataka kutuambia ufisadi huwa wanafanya watu wa darasa la saba? ebu nisaidie hivi Andrew Chhenge, kiwango chake cha elimu kikoje? Dk Balali, Basil Mramba, Prof Mahalu, naomba utusaidie mkuu
 
Inamaana hiyo CC ya CDM haijui kilichomo ndani ya Public Procurement Act 2004? kama sivyo kwanini hili suala lilete mjadala mrefu wa kutaka kutoana macho?.Hawa (Slaa) ndio walioshiriki kupinga sheria isibadilishwe kuruhusu Serikali kununua Used Equipments/Machines sasa leo "vya chakavu" vimekuwa "deal".

Hii ni malice aforethought to ufisadi Mzee.

Usisahau fedha itakayotumika ni kodi za wananchi [Ruzuku] mwisho wa siku CHADEMA watatakiwa kufunga hesabu zao na kukaguliwa na CAG.
 
Hii imeshajadiliwa jana, marudio haya

hali si swari ndani ya chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni. Bila kuwashirikisha viongozi wengine wa chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa profesa mwasiga baregu na dk kitila mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo. Itakuwa vizuri hili swala katibu mkuu wa chadema, dk willibrod slaa, pamoja na mwenyekiti wa chadema taifa, freeman mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi
 
Mhhh mbona utata, huelezi walinukuliwa lini, nani aliwanukuu, mahali gani walinukuliwa wala muda, Naomba mtueleze kinagaubaga sio kujaribu kutumezesha propaganda!!!!!!!!!!!!!!! tunaimani nao kama hoja zipo za msingi basi ziwe na mantiki ya kutushawishi kupoteza imani yetu kwa hawa jamaa tumani pekee lililosalia la watanzania wanyonge wanaoshindwa kukamilisha angalau milo miwili kwa siku
 
Hii imeshajadiliwa jana, marudio haya

Kama imeishajadiliwa basi imetoka hiyo Ufisadi uendelee tu Mkuu? kama unasikia ukakasi Chadema kusemwa wewe kaa pembeni au kapate mbege tuache Watanzania wenye uchungu na kodi zetu tuhoji huu ufisadi uliofanyika wa unanuzi wa magari chakavu 'mitumba' kutoka india
 
ACHENI WANUNUE KWANI WANAWAKILISHA WATANZANIA ORIGINAL, AMBAO WENGI HAWAWEZI KUNUNUA MAGARI MAPYA KWA MSHAHARA WA 135000 KWA MWEZI JE UTANUNUA GARI JIPYA LENYE 4WD BAADA YA MIAKA MINGAPI. SO ITS BETTER KUNUNUA KULINGANA NA KIPATO. BRAVO!!!!!!!!!!!!!!!!! inaonesha tuko nao pamoja kwenye magari chakavu tuko wote!!! kwenye shida na taabu.Sio wachache wanamagari mapya tena ya kisasa sisi wanyonge hata hayo chakavu tuliyo na uwezonayo wanatuwekea vikwazo mara dumping charges 20% MAUSHURU KIBAOO ILI MRADI TUSHINDWE.
 
Karibu magari yote yanayonunuliwa na watu binafsi Tanzania ni used. Hata mimi nanunua magari used. Tangu lini ikawa ufisadi kununua gari used?

Ufisadi ungekuwepo kama kuna rushwa imetumika, lakini kununua magari used per se ni umasikini tu, sio ufisadi.

Kwa hiyo Chadema ni chama cha watu binafsi mkuu hawaruhusiwi kuhojiwa? tunashukuru mkuu kwa maneno yako murua
 
Mhhh mbona utata, huelezi walinukuliwa lini, nani aliwanukuu, mahali gani walinukuliwa wala muda, Naomba mtueleze kinagaubaga sio kujaribu kutumezesha propaganda!!!!!!!!!!!!!!! tunaimani nao kama hoja zipo za msingi basi ziwe na mantiki ya kutushawishi kupoteza imani yetu kwa hawa jamaa tumani pekee lililosalia la watanzania wanyonge wanaoshindwa kukamilisha angalau milo miwili kwa siku

Kwa jinsi unavyoipenda Chadema mpaka hili jambo la kufanya maamuzi ya kununua magari chakavu ya thamani ya 480 Milioni. unaliona ni propoganda, pole ndugu yangu inauma lakini utafanyaje ndio hivyo makamanda wenu wameishafanya mambo yao
 
Chadema itawakosesha usingizi mafisadi ccm mpaka mchanganyikiwe sasa hivi kaburi la ccm lipo wazi tunasubiri kufukia tuu. Umma wa watanzania unasubiri ccm kuwabwaga mafisadi wenzao lowasa, chenge na roastam. Sasa swali kubwa ni je wataweza vipi kuzika kichwa waache kiwiliwili? Hao mapacha ndio ccm ya sasa -wameshika kila kona, hawagusiki.
 
Jamani nyinyi makada wa ccm mlioko huku hamuwezi kukaa hata siku moja bila kuichafua Chadema?
Mosi, tangu lini ufisadi ukajadiliwa ktk vikao kama kamati kuu yenye PHD holders 'madokta' na maprofesa kibao na kuamuliwa kwa vikao rasmi? Huu ni uzushi.

Mosi, Dr Mkumbo kitila alikuwepo kwenye vikao vya kamati kuu. Hakupinga jambo lolote kikaoni wala hakuongea cho chote na waandishi wa habari. Hivyo, huu ni uzushi.

Pili, Chadema hatuna sera inayozuia ununuzi wa vitu vilivyotumika. Labda tuiweke sasa if need be. Kwa hiyo, kama kamati kuu iliamua kununua magari yaliyotumika kwa sababu hatuna fedha nyingi kama Mafisadi. What is wrong about that, as long as vikao husika tena vyenye 'madocta na maprofesa' vimejadili na kuamua hivyo.
Usibabaishe kujibu hoja Bwana Aweda, hizo fedha ni za walipa kodi walio na wasio CDM.
Kanuni na taratibu za matumizi ya fedha za serikali lazima zitumike kuridhisha ukaguzi wa CAG.
Maelezo mengine mengi ni kuhalalisha ufisadi tu ambao viongozi wenu wanauvalia njuga lakini umekithiri ndai yenu.
Hii hadithi ya kibanzi na boriti.
 
hii ingekuwa kafanya Zitto sijui ingekuwaje...
 
Nasema Fuateni Maneno yangu Msifuate Matendo yangu! Chadema ni chama makini siku zote!
 
hii ingekuwa kafanya Zitto sijui ingekuwaje...<br />
Sijakuelewa hapo,kwani zitto si chadema?au wakati wa mahamuzi ye akuwepo?katoe matongotongo kwanza ndo ujekutoa maoni yako na usirudie tena kuleta uchonganishi km huu ndani ya chama mbwa wewe
 
Back
Top Bottom