apolycaripto
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 644
- 225
Wewe ndio umeamka nini fuatilia wenzako wameshamaliza kuijadili hoja yako hii.
Mzee!
Kwa hiyo ikishajadiliwa ndio imetoka hivyo?Mbona unataka kumuwahisha mgonjwa mortuary kabla hajakata roho.
Wewe ndio umeamka nini fuatilia wenzako wameshamaliza kuijadili hoja yako hii.
hii inanikumbusha kipindi cha uchaguzi. kulikuwa na link ya kupiga kura kwa wagombea urais. baada ya gazeti moja la kila wiki kutangaza kuwa 'wanamtandao wampa 76% dr. slaa, liliibuka kundi la watu wakawa wanapiga kura za maruhani kutaka kumpandisha chati mchakachuaji, lakini hatimaye walishindwa na kampeni zao chafu. now they are comming again baada ya kujivua gamba.
we are ready. well equiped.
karibuni sana.
Sababu ya kuzuia ununuzi wa vitu chakavu serikalini ni kukosekana kwa vigezo madhubuti vya kupata hivyo vitu mitumba kwani watendaji wengeweza kununua mtumba wa shilingi hamsini na kuupandisha thamani hadi laki mbili jambo ambalo ni vigumu kuli-audit.lakini bidhaa ikiwa mpya thamini yake itajulikana kirahisi.
Kwa chadema kununua used sioni kama ni tatizo hasa kwa miaka hii mabapo hata used vehicles are in good conditions. na especially kama wasimamizi ni watu makini hakuna tatizo.
Kuna mifano ya taasisi kadhaa waliokwishafanya manunuzi ya aina hiyo. kwa mfano CWT wamenunua magari ya ofisi zao nchi nzima yakiwa used na yana hali nzuri!!
Tatizo sio ufisada hapo, tatizo ni kutaka kununua vitu vilivyotumika, ndio ilikuwa hoja ya msingi, wamejadiliana wamefika tamati. Ufisadi ungetokea endapo wangesema wamenunua vitu vipya wakati sio. Upande wa serikali, sheria inatamka bayana kuwa serikali haitakiwi kununua vitu used, endapo itatokea imenunua vitu used huo utakuwa ni uvunjivu wa sheria ya manunuzi ya serikali. Rejea, "procument act" .
Hali si swari ndani ya Chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni. bila kuwashirikisha viongozi wengine wa Chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa Profesa Mwasiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo. itakuwa vizuri hili swala Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, pamoja na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi

Yaani Chama Cha Magamba (CCM) mlivyoahidi kwamba mtatumia media jamii ili kupambana na CDM ndio style yenyewe hii? Hivi mmejiuliza kama bei ya magari inaendana na thamani ya magari husika, hata kama ni chakavu? Kama jibu ni ndiyo ufisadi uko wapi hapa? Kwani Sheria ya Manunuzi, 2004 inahusu taasisi zisizo za kiserikali? Yaani mmevua magamba ndio mmekuwa bogus zaidi, afadhali mngebaki nayo!
Hawa jamaa hawajapokea rushwa, hawajanunua chochote kwa bei ya kuiba ila walikuwa wamependekeza kununua magari ya mtumba ambayo kwa nchi yetu ndiyo mengi kuliko yaliyonunuliwa yakiwa mapya, yawezekana kwa jamaa wa GAMBA huo ni ufisadi maana wao huwa wananunua mapya kwa peza zetu bila ridhaa yetu sasa wanajamvi mimi naomba tuelimishwe hapa UFISADI hasa ni upi. Kuliibia taifa na kuzitumia fedha hizo kujinufaisha au kununua mtumba kwa bei halali ili angalau upate badala ya mbili upate nne au zaidi
Yaani Chama Cha Magamba (CCM) mlivyoahidi kwamba mtatumia media jamii ili kupambana na CDM ndio style yenyewe hii? Hivi mmejiuliza kama bei ya magari inaendana na thamani ya magari husika, hata kama ni chakavu? Kama jibu ni ndiyo ufisadi uko wapi hapa? Kwani Sheria ya Manunuzi, 2004 inahusu taasisi zisizo za kiserikali? Yaani mmevua magamba ndio mmekuwa bogus zaidi, afadhali mngebaki nayo!
wewe ndio umeamka nini fuatilia wenzako wameshamaliza kuijadili hoja yako hii.
Wewe ndio umeamka nini fuatilia wenzako wameshamaliza kuijadili hoja yako hii.
Hali si swari ndani ya Chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni. bila kuwashirikisha viongozi wengine wa Chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa Profesa Mwasiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo. itakuwa vizuri hili swala Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, pamoja na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi
Ninanukuu baadhi ya sehemu kutoka kwenye gazeti la Mwananchi la leo Jtatu, 02/05/11 lenye kichwa cha habari "Moto wawaka Chadema, NI VITA YA KAMBI ZA MBOWE, ZITTO"
" VITA vya makundi vimezidi kuviandama vyama vikubwa vya siasa nchini, ambapo sasa hali si shwari ndani Chadema, ambako kunadaiwa kuwepo mkakati wa kumng'oa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe. Hali hiyo ilijitokeza katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kilichoketi juzi Jumamosi chini ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, kikao ambacho pia kilimg'oa John Shibuda katika nafasi ya kukaimu uenyekiti mkoa wa Shinyanga.Shibuda ambaye ni mbunge wa Maswa Magharibi ameondolewa baada ya kukalia nafasi hiyo takriban kwa siku nne tu tangu ateuliwe, kufuatia kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoani Shinyanga Philip Shelembi ambaye alizikwa April 27, 2011. .....mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema, ndiye alianzisha mvutano wa kutaka Zitto ang'olewe kutokana na kupinga wazo la kununua magari chakavu kutoka India.....mashambulizi dhidi ya Zitto yalianza pale alipounga mkono hoja ya Profesa Mwesiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema kwamba, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kufanya ufisadi kwa kununua magari chakavu wakati wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo."
Mwisho wa kunukuu.
Hoja yangu:
Cdm ni chama kikuu cha upinzani kinachofikiriwa na Watanzania wengi nikiwepo mimi binafsi kuwa kinaweza kikachukua nafasi ya CCM katika kuliongoza Taifa letu. Tunapozungumzia masuala ya Cdm twapaswa kuwa wakweli na wawazi juu ya Strength & Weakness za Cdm juu ya Mustakabali wa Taifa ili walio na dhamana ya chama hicho waweze kujua na kuelewa strength/weakness walizonaza ili waweze kuzifanyia kazi in a positive manner. Tusijadili mambo haya muhimu ya Kitaifa Kiubinafsi na Kiushabiki zaidi, haita tusadia hata kidogo. Penye mazuri tuseme kwa sauti moja kuwa hiki ni kizuri na halikadhalika penya ubovu pia tutumie sauti hiyohiyo. Kumbuka kuwa sisi ni baadhi ya watu wachache waliobahatika kupata elimu na kuwa na upeo wa kuweza kuona mambo, yatupasa tukumbuke kuwa kuna wengi wapo nyuma yetu hawana upeo huo kwahiyo inapokuja suala la Mstakabali wa Kitaifa tuondoe ukabila, udini, ukanda, uchama na aina yeyote ile ya ubaguzi. Ni kwakufanya hivyo tu tutaweza kulijenga Taifa lililo imara na lenye nguvu ambapo hata vizazi vijavyo vitatukumbuka kama tunavyomkumbuka Mwalimu leo hii.
Ukisoma maelezo ya gazetini na kuyatafakari kwa makini utaona kuwa makundi yanayozungumziwa ni kati ya Watu wa Kaskazini na ambako ndiko kwenye uhasisi wa Cdm na Watu wanaotoka Maeneo mengine ya TZ kwa pamoja. Lema kumtetea Mbowe, na Zitto kuunga mkono hoja ya Prof Baregu, utaona tu nini kinaendelea. Pia ukiiangalia historia ya kufukuzwa kwa mtu muhimu kama Kafurira anayetoka Kigoma na sasa na Shibuda kutolewa madarakani ambaye hatoki Kaskazini. Sina maana kwamba mtu anayetoka nje ya kaskazini asiadhibiwe kwakuwa kufanya hivyo kutaonesha ubaguzi la, ila mazingira yake yanaweza yakawafanya watu wa infer ubaguzi.
Sasa hususan kwa watu mlio nyumbani ambao mnaueleo mkubwa juu ya mambo haya kutokana na na kuaccess habari kutoka kwenye vyanzo vingi, mnalionaje ili suala la Cdm kuhusiswa na Ukanda, je mtu akisema kuwa Cdm ina element za Ukaskazini atakuwa yuko sahihi kwa ku infer events zinazotokea kama hapo juu? Mimi si mwanachama wa chama chochote kile lakini naguswa na masuala ya Kitaifa, nataka hasa Wanachadema mnipatie critical analysis ya Cdm kuhusishwa na Ukaskazini ili sisi wananchi wapenda positive changes and develepomnt tusiwe na hofu ya kuwakabidhi dola muda muafaka utakapowadia.
MASLAHI YA TAIFA KWANZA SI VYAMA WALA UBINAFSI.
Yaani Chama Cha Magamba (CCM) mlivyoahidi kwamba mtatumia media jamii ili kupambana na CDM ndio style yenyewe hii? Hivi mmejiuliza kama bei ya magari inaendana na thamani ya magari husika, hata kama ni chakavu? Kama jibu ni ndiyo ufisadi uko wapi hapa? Kwani Sheria ya Manunuzi, 2004 inahusu taasisi zisizo za kiserikali? Yaani mmevua magamba ndio mmekuwa bogus zaidi, afadhali mngebaki nayo!
Hapo kwenye Red: unachokisema ni sahihi lakini kwa mantiki ya kwamba ukanda, udini nk. unaozungumzwa kuhusu Chadema ni kitu kinachojengwa lakini mpaka sasa kimeshindwa kumalizika. CDM ni Chama cha Demokrasia hayo yanayozungumzwa )ndani ya vikao na nje ya vikao vya Chadema) na tafsiri yake ni vitu viwili tofauti. Kabla ya kuamini hoja lazima ungalie kasema nani na ana ukweli wake ni kiasi gani.