Wewe ndio umeamka nini fuatilia wenzako wameshamaliza kuijadili hoja yako hii.
Hali si swari ndani ya Chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni. bila kuwashirikisha viongozi wengine wa Chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa Profesa Mwasiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo. itakuwa vizuri hili swala Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, pamoja na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi
hii inanikumbusha kipindi cha uchaguzi. kulikuwa na link ya kupiga kura kwa wagombea urais. baada ya gazeti moja la kila wiki kutangaza kuwa 'wanamtandao wampa 76% dr. slaa, liliibuka kundi la watu wakawa wanapiga kura za maruhani kutaka kumpandisha chati mchakachuaji, lakini hatimaye walishindwa na kampeni zao chafu. now they are comming again baada ya kujivua gamba.
we are ready. well equiped.
karibuni sana.
Mti wenye matunda utapigwa mawe!
Hongereni vilaza ccm mshaona ndo topic yaleo, Mshindwe na mlegee na kisha muanguke kifudifidi halafu cdm tuwararie na kuwapumulia kisogoni!!!!!
Kama na ww unashabikia ufisadi huu basi una walakini kichwani mwako ! na kwenye uchaguzi nani aliyeshinda kwa kishindo ? jibu
ni kweli walishindwa na baadae Slaa akashinda urais!hii inanikumbusha kipindi cha uchaguzi. kulikuwa na link ya kupiga kura kwa wagombea urais. baada ya gazeti moja la kila wiki kutangaza kuwa 'wanamtandao wampa 76% dr. slaa, liliibuka kundi la watu wakawa wanapiga kura za maruhani kutaka kumpandisha chati mchakachuaji, lakini hatimaye walishindwa na kampeni zao chafu. now they are comming again baada ya kujivua gamba.
we are ready. well equiped.
karibuni sana.
Mti wenye matunda utapigwa mawe!
Hongereni vilaza ccm mshaona ndo topic yaleo, Mshindwe na mlegee na kisha muanguke kifudifidi halafu cdm tuwararie na kuwapumulia kisogoni!!!!!
ni kweli walishindwa na baadae Slaa akashinda urais!
habari ya kikuda hii. haina source wala sink.
kishindo kwa kisumuma ni matusi. sitaki kumtukana rais wenu.
we are clever than you think we are.
unaweza kuitoa timu iliyokusaidia kushinda kwa kishindo,kama mlishinda kwa kishindo kwa nini mmejivua gambaKama na ww unashabikia ufisadi huu basi una walakini kichwani mwako ! na kwenye uchaguzi nani aliyeshinda kwa kishindo ? jibu
Huyu ndio Rais wako na huna rais mwingine ! kodi yako anaikusanya na anaitumia kukuletea maendeleo ww , mkeo na watoto wako
Siku zote hiki chama hawamini wanachokuwa wanaambia wananchiHali si swari ndani ya Chadema, baada kubainika baadhi ya viongozi wa juu wa cha hicho kufanya maamuzi ya ununuzi wa magari chakavu 'mitumba' yenye thamani ya sh 480 milioni. bila kuwashirikisha viongozi wengine wa Chadema, wakiongea kwa masikitiko makubwa Profesa Mwasiga Baregu na Dk Kitila Mkumbo ambao walinukuliwa wakisema, isingekuwa sahihi kwa chama hicho kinachopinga ufisadi kwa kununua magari chakavu 'mitumba' wakati wao wamekuwa wakiibana serikali isifanye hivyo. itakuwa vizuri hili swala Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, pamoja na Mwenyekiti wa Chadema taifa, Freeman Mbowe, walitolee ufafanuzi zaidi
Siku zote hiki chama hawamini wanachokuwa wanaambia wananchi