Kashfa Kubwa Simba SC! Evans Aveva jiuzuru upesi

Kashfa Kubwa Simba SC! Evans Aveva jiuzuru upesi

Kama ni kweli hiyo imetokea jana basi hata mechi na prison ule ulikuwa ni ushind wa kupanga ili mkutano upite kwa amani...........
 
Mleta mada lazima atakuwa mmoja kati ya wale wanachama waleta vurugu wasipowekwa mlangoni uwanja wa taifa kuangalia mapato, manaake mshari huyo khaa!
Kwanza hii sijui mikutano ya wanachama sijui nini ndio inakwamisha maendeleo ya soka Tanzania, kila siku mizengwe tu mbona sijawahi kusikia mkutano wa wanachama wa Manchester United! Njaa tu hawa.
 
weka hyo clip

Na Ambao Mlikuwa Mnadhani Labda Natania Tu au Nimekurupuka Muda Si Mrefu Clouds FM Nao Ktk Kipindi Chao Cha Sports Extra Wameirudia Na Kuicheza Hiyo Clip Kupitia Kwa Alex Luambano Huku Shafii Dauda Kama Kawaida Yake AKISILIBA KWA KWENDA MBELE. Haya Sasa Na Leo Semeni GENTAMYCINE Nimekurupuka au Ni Mzushi au Ni Mchochezi au Ni Mropokaji Tu!
 
Hahahahahaaa..... aisee ahsante kwa kunifumbua macho. Nlikuwa najiuliza mtu anapataje tabu kuandika uandishi wa namna hii?

cc @RR

Naona Unamsapoti Anayekukuna Kwa Kukusugua Na Sasa Umesugulika Kisawasawa Hadi Unakuja Kumsaidia Huku. Tea Bag Heko Kwa KUMKUNA Asprin Na Sasa Yale Madhiwa Yako Yanamlevya Na Kapagawa Na Wewe....Si Mchezo Mkuu!
 
Mbona kwenye picha wanaonekana kama wapo zaidi ya 500!
 
Attachments

  • 1425327855280.jpg
    1425327855280.jpg
    79.8 KB · Views: 224
Kama ni kweli hiyo imetokea jana basi hata mechi na prison ule ulikuwa ni ushind wa kupanga ili mkutano upite kwa amani...........

Simba Kwa kikosi tulicho nacho soka lake kiwango chake ni like tulilocheza na Prisons kinachotokea kuna mdudu anaesababisha Simba isicheze Kwa kiwango chake sasa siku ya prison walijua tukifungwa wanachama hawatachagua wanaweza kuupiga Chini uongozi wote wakati mdudu mwenyewe Ni kiongozi pia...
 
Na Ambao Mlikuwa Mnadhani Labda Natania Tu au Nimekurupuka Muda Si Mrefu Clouds FM Nao Ktk Kipindi Chao Cha Sports Extra Wameirudia Na Kuicheza Hiyo Clip Kupitia Kwa Alex Luambano Huku Shafii Dauda Kama Kawaida Yake AKISILIBA KWA KWENDA MBELE. Haya Sasa Na Leo Semeni GENTAMYCINE Nimekurupuka au Ni Mzushi au Ni Mchochezi au Ni Mropokaji Tu!

Nina wasiwasi na wewe...
 
Wewe ni mwanachama wa simba au shabiki tu,
kama ni mwanachama umesoma katiba ya simba kama bado bado isome ili kuona kama rais wenu kafanya makosa au lah.
 
Naona Unamsapoti Anayekukuna Kwa Kukusugua Na Sasa Umesugulika Kisawasawa Hadi Unakuja Kumsaidia Huku. Tea Bag Heko Kwa KUMKUNA Asprin Na Sasa Yale Madhiwa Yako Yanamlevya Na Kapagawa Na Wewe....Si Mchezo Mkuu!

Hapo ndo umefikia kiwango chako cha mwisho au bado unaendelea??
 
Kama amerokodiwa ana haki ya kwenda kushtaki, si amerokodiwa tu....
 
Wewe ni mwanachama wa simba au shabiki tu,
kama ni mwanachama umesoma katiba ya simba kama bado bado isome ili kuona kama rais wenu kafanya makosa au lah.

Wewe Ni Mtoto Mdogo Sana Tena KIAKILI Kuniuliza Mimi Swali Lako Hilo La Ki POPOMA. Waulize Ma POPOMA Wenzio Kama Wapo Humu.
 
Hapo ndo umefikia kiwango chako cha mwisho au bado unaendelea??

Sasa Unauliza Ili Nifanyeje? Umetaka Ligi Na Mimi Basi Tuliendeleze Huwezi Kaa Kimya Endelea Na Maisha Yako Na Usinichefue!
 
Wewe Ni Mtoto Mdogo Sana Tena KIAKILI Kuniuliza Mimi Swali Lako Hilo La Ki POPOMA. Waulize Ma POPOMA Wenzio Kama Wapo Humu.

wewe jamaa mbona huwa mkali sana na matusi mengi hata kwa watu wanaokushauri vyema?are you nut?
 
Kwa kilochorushwa na e fm kwenye kipindi cha michezo jana kweli imedhihirika tatizo la simba si wachezaji bali viongozi sio wamoja japo wanajaribu sana kuficha huu ukweli. Ni dhahiri sasa lazima upande mmoja ukubali kushindwa na ujiuzulu mara moja kwa masilahi ya timu na kuepusha maafa siku zijazo. Au viongozi wote wajiuzulu uchaguzi uitishwe upya. Haiwezekani mjadiliane (japo ilikuwa ni katika kuidhinisha maovu) halafu siri zivuje kwenye vyombo vya habari. Any way what goes around......... Uovu waliomtendea rage sasa unawarudi.
 
Aina Ya Simu Za Kichina Kama Hii Ninayo Tumia Kuandikia
Ili Uende Sawa Unalazimika Uanze Kuameika Alafu Useti Tena Herufi Ndogo

kama hapa nadhani umenielewa

kumbe huyu boya anatumia simu za kichina?
 
kumbe huyu boya anatumia simu za kichina?

Punguza ulofa mtoto wa kike wewe utapakatwa,
Simu niliyotolea mfano hapo natumia nikiwa kazini tu kutokana kazi zangu ni zakutumia nguvu na si zakutulia sehemu moja, tofauti na wewe ukikaa hair dressing salon ni umbea tu. nikiwa nyumbani natumia hivi hapa chini
 
Attachments

  • 1425391294461.jpg
    1425391294461.jpg
    47.6 KB · Views: 88
Cc😡Laki si pesa
 
Attachments

  • 1425391466347.jpg
    1425391466347.jpg
    77.5 KB · Views: 191

Attachments

  • 1425391700490.jpg
    1425391700490.jpg
    36.1 KB · Views: 179
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom