Wewe Ni Mtoto Mdogo Sana Tena KIAKILI Kuniuliza Mimi Swali Lako Hilo La Ki POPOMA. Waulize Ma POPOMA Wenzio Kama Wapo Humu.
Hiyo Ndiyo Trade Mark Yangu Mkuu Labda Uwe Mgeni Na Mimi Na Sitoibadilisha Hadi Kufa Kwangu! Muhimu Usitazama Uandishi Wangu Bali Pata Tu Content Ya Kile Ninachokuletea au Kukujuza Humu JF.
wewe jamaa mbona huwa mkali sana na matusi mengi hata kwa watu wanaokushauri vyema?are you nut?
Kwenye "au" umesahau kuanza na herufi kubwa
Kwani unanilisha mpaka uniambie mimi mtoto mdogo?
punguza bangi zako na huo ugolo wako.