Huko mimi ndiyo nimechoka ukiwa mbagala Dar ukanunua umeme kwa mtandao wa sh.10,000 utapata Units 77.7 na ukiwa Morogoro- Misufini kwa ela hiyo unapata units 28.4 wakati makato ni yale yale, Tarif ni ile ile (moja) na Mtandao uliotumia kununulia ni ule ule...!Waangalie na malipo ya umeme yanayofanyika kwa mitandao, inawezekana nako pia takwimu haziendani.
Wataisoma Namba mwaka huu hapa kazi tu.
Huko mimi ndiyo nimechoka ukiwa mbagala Dar ukanunua umeme kwa mtandao wa sh.10,000 utapata Units 77.7 na ukiwa Morogoro- Misufini kwa ela hiyo unapata units 28.4 wakati makato ni yale yale, Tarif ni ile ile (moja) na Mtandao uliotumia kununulia ni ule ule...!
============================
Hivi huyo Robert Nyoni ana uhuhusiano wa kiundugu na Blandina ('Irion' Lady)...!?
Nami nilijiuliza hilo swali na nikakumbuka huyu aliwahi pata skendo wizara ya Afya baada ya mgogoro wa madaktari nadhani na akapelekwa/kurudishwa TRA pale kama boss fulani (sikumbuki nafasi ipi). Inawezekana kabisa wana uhusiano wa kindugu.Huko mimi ndiyo nimechoka ukiwa mbagala Dar ukanunua umeme kwa mtandao wa sh.10,000 utapata Units 77.7 na ukiwa Morogoro- Misufini kwa ela hiyo unapata units 28.4 wakati makato ni yale yale, Tarif ni ile ile (moja) na Mtandao uliotumia kununulia ni ule ule...!
============================
Hivi huyo Robert Nyoni ana uhuhusiano wa kiundugu na Blandina ('Irion' Lady)...!?
Mtukufu Rais alisema "Mtumishi wa UMMA ukifanya makosa usitegemee kuhamishwa kituo cha kazi, utafukuzwa (nitalala nao), naona sasa kauli yake inatimia.Ikigundulika hao jamaa wamepiga pesa za umma fukuzia mbali huko.
Ni kazitu
Mwaka huu waganga wa jadi watapiga hela ile mbaya,yaani watu watapigwa chale za kwenye makalio mpaka yaote vidonda.