kazi ni kurudi Bandarini na Muhimbili kila siku, kwanza wanapaswa wajifunze kitu ni kwa nini huko makosa yanajiludia? Na kwa nini hizi ziara za ghafra hazimalizi matatizo? Waende kwenye miladi ya wizara nyeti waone maajabu maana wakifika huko nadhani Dunia itashangaa siku hiyo.Barabara nyingi kuwa chini ya Kiwango ...
MV DAR es Salaam ....meli kuuu kuu ya dola milioni 10 inayoenda bagamoyo Masaa matatu ..iliokuja kukAbiliana na tatizo la foleni.
Miradi wa Dart kutokamilika hadi Sasa Hasa KIPANDE CHA UBUNGO NATIONAL HOUSING -SINZA-UZURI-MAGOMENI KANISANI ....hicho vimejengwa vituo tu,hakuna Barabara
mwenye Richmond yupo Msoga ni Mwenyekiti wa ccm nani atamgusa? Katiba hairuhusu Rais mstaafu kuguswa hata kama alikwapua pesa zote hadi wakashindwa kulipa mishahara.Hayo nayo yatasahaulika tu kama ilivyosahaulika Richmond.
BADO HAJAPEWA UDAKU NA WAPAMBE......Ni kweli mkuu aanze na nyumba za serikali
umesahau hata yakihamia chini hapo napo atakupasua tuKwani hamuoni sasa hivi nani anaweza kuamua au kutotaka kitu kisifanyike?
Mh. Magufuli ametuonyesha kuwa ukiwa raisi ndio unaweza tenda yoteeee
Sasa yeye alipokuwa Waziri mnafikiri angefanyaje, mumemuona Waziri Ummy hadi Katibu Mkuu wa Afya wanachofanya jana je kwani nani kawakurupusha? Mh. Magufuli angekaa kimya leo si pangekuwa kama juzi
Mumwache kwa sasa afate diary yake, hata nyie mna diary zenu au sio na mipango yenu kibao hata kichwani mnatimiza kufanya
Hata majipu yakihamia miguuni atatumbua tu...
1.Uuzaaji wa Nyumba za Serikali
2.Escrow
3.EPA
4.Ripoti ya CAG ya mwaka jana kuhusu wizara ya ujenzi.
5.Meremeta
6.Kagoda
7.Richmond
8.Mh.fulani kutuhumiwa Kujiuzia Mgodi wa Kiwira kwa bei ya kutupa
9.Sitting allowance za wabunge(hii sio kashifa ila ni tatizo kuliko hata gharama za kurusha live vikao vya Bunge), n.k
Rais Magufuli haya nayo ni majibu na mwili ni ule ule na maumivi yake huenda ni makubwa zaidi.
Kaz
kazi ni kurudi Bandarini na Muhimbili kila siku, kwanza wanapaswa wajifunze kitu ni kwa nini huko makosa yanajiludia? Na kwa nini hizi ziara za ghafra hazimalizi matatizo? Waende kwenye miladi ya wizara nyeti waone maajabu maana wakifika huko nadhani Dunia itashangaa siku hiyo.
Kontena zinahusika na kinachoendelea mpaka leo. Kashfa za mwaka arobaini zitafuatiliwa lakini kipaumbele ni kinachoendelea sasa.Basi kuna haka gani kufuatilia kontena zilizopita bila kulipiwa kama yakale hayanuki?
Tukubali kuwa kujitumbua jibu yataka ujasiri
lkn naona tunamuonea tafuta video ya sumaye cku anatangaza nia alisema kuhusu nyumba za serikali...magufuli hahusikiNi kweli mkuu aanze na nyumba za serikali
Mwaka 47? Wakati Singasinga tunaambiwa bado anavuta 8bil kila mwezi?Kontena zinahusika na kinachoendelea mpaka leo. Kashfa za mwaka arobaini zitafuatiliwa lakini kipaumbele ni kinachoendelea sasa.
Atasimama muhagama na kusema jina la jpm lisitumiwe kwa dhihakainapaswa mbunge mmoja aulize hili bungeni
1.Uuzaaji wa Nyumba za Serikali
2.Escrow
3.EPA
4.Ripoti ya CAG ya mwaka jana kuhusu wizara ya ujenzi.
5.Meremeta
6.Kagoda
7.Richmond
8.Mh.fulani kutuhumiwa Kujiuzia Mgodi wa Kiwira kwa bei ya kutupa
9.Sitting allowance za wabunge(hii sio kashifa ila ni tatizo kuliko hata gharama za kurusha live vikao vya Bunge), n.k
Rais Magufuli haya nayo ni majibu na mwili ni ule ule na maumivi yake huenda ni makubwa zaidi.
wewe muongo kabisa.barabara za mjini unataja mibio ya nini.ukienda mwendi mzuri barabara zinatosha kabisa.alafu hicho kivuko cha azam kimelipiwa kodi kiasi gani10- kununua kivuko cha Dar Bagamoyo kwa billion 8 bei kubwa mara dufu ya kivuko kipya cha Azam. 11- mikataba ya madini na Gesi pamoja na uagizaji Sukari nje. 12- Ujenzi wa barabara nyembamba sana kati ya ubungo na magomeni. 13- mali na mapesa ya Marehemu Gadafi pamoja na Ufujaji wa pesa wizara ya mambo ya nje.