Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,958
Kila mtu anapenda Eti na yeye siku moja awe kama Rais Barack Obama? ahhh kasheshe kupenda Binadamu madaraka vipi mkuu@Mbuzi Mzee hujambo wewe?
Usicheze na Tanga wewe utarudi jina huko Mbuzi MzeeMaalim Mzizi, nipo salama bado, natafuta usafiri wa kutoka Tanga, nimeshikwa vibaya sana mie
Maalim Mzizi, nipo salama bado, natafuta usafiri wa kutoka Tanga, nimeshikwa vibaya sana mie
Afadhali umwambie wewe anacheza na Tanga huyu Mbuzi Mzee.... King'astiTulia tuli kwa raha zako baba. Vijisenti vikiisha watakutolea dirishani. Usisahau kuweka nauli kwenye mshipi
Afadhali umwambie wewe anacheza na Tanga huyu Mbuzi Mzee.... King'asti