Kasheshe hapo atokee nyoka sijuwi itakuwaje

Kasheshe hapo atokee nyoka sijuwi itakuwaje

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,108
Reaction score
34,931
398870_10150689116563028_191746188027_9202780_79229879_n.jpg


AKITOKEA NYOKA HAPO KATIKATI SIJUWI ITAKUWAJE HAPO WEWE UNAFIKIRI ITAKUWAJE?
 
Nyie hamnazo kabisa, inakuwaje nini zaidi ya kikimbia? Do you think they are glued?
 
Hapo katikati akitokea atakuwa mnyoo na sio nyoka, manake nyoka atatokea ardhini? Labda uulize akidondoka nyoka (assuming kuna mti hapo juu yao)
 
Mbona kama wanafanya dua fulani?
Ama wanasubiria Ngariba?
Wanatambika ili Mvua inyeshe inaonyesha Mvua haijanyesha siku nyingi kijijini kwao ule wao ikija Kunyesha hiyo mvua isije kunyesha Mvua kama ya Mjini Dares-Salama, itakuwa kasheshe kweli.
 
Wapo jandoni hao, kwa wale waliopata huduma ya tohara porini wanajua kinachoendelea hapo. Nyie mliopata huduma ya tohara hospital mmetoka kapa hapo.
 
Nauliza swali Je akianguka nyoka toka juu ya mti aangukie hapo katikati je hao watoto watafanya kitu gani?
 
Back
Top Bottom