kuna kama wa2 hivi watazimia, coz watashindwa kuamka hapo chini ,as a result wenzao watakuwa wamekimbia na hao wamebaki peke yao, pata picha, ndo wanazimia!!!!!!!!!!
hawa wapo kijijini mbali sana..! na wamepata mwalimu wa hisabati baada ya karne nyingi sana za kusoma bila hesabu sasa hapo wanafanya zoezi la kutengeneza duara...! sijui mmenielewa..!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.