Kashai Sekondari Bukoba, shule maarufu isiyokuwa na Computer, Printer wala Flash Disk

Kashai Sekondari Bukoba, shule maarufu isiyokuwa na Computer, Printer wala Flash Disk

Tukimaliza madawati tutakuja na harambee za viti na meza halafu ndio itafuata harambee flash, wakishapata za kutosha itafuata harambee ya compyuter kuwa mpole maana kila jambo la elimu ni mwendo wa harambee.
 
Ukiwakuta wahaya kwenye majukwaa ya siasa na majigambo utashangaa aisee

Wadau kuna kitu kinashangaza sana. Kwa yeyote aliewahi kishi Bukoba Mjini atakuwa anapajua vilivyo kashai. Ni kata yenye wakazi karibia asilimia 40% mji mzima. Pia ndiko wanakotoka watu kama Meya wa zamani ..Mzee Amani, pia ndiko watu kama Abdallah Bulembo inakosemekana ndo uwanja wa nyumbani, watu kama Gracian Mukoba eti wanatokea maeneo hayo ma wengine wengi maarufu pia ndipo kiwanda cha maji ya ASILIA ambacho eti kinamilikiwa na Karamagi ambacho kiko nyuma a shule kipo.

Cha kushangaza sana ni kuwa shule hiyo haina hata diskette......vijana wa siku hizi hawajui diskette, shule haina flash disk wala printer wala desktop..............ila maajabu ni kuwa shule hiyo ina mtambo wa internet hapo nje!!!! tena mkubwa tu. Najiuliza sana ndugu zangu wa Bukoba na mikwara yooote waliyonayo maeneo ya Mbezi beach, huko kimara, na maeneo yooote huko dar na hata nje ya nchi, shule kama ile maarufu mjini haina hata flash. Binafsi najitolea flash naenda kuitupa mlangoni kwa Headmaster maana aibu hii.

In short bukoba nimeishi kama miaka kadhaa
Hyo shule naifahamu vizuri na sio maarufu kama unavyosema...

Kwanza hiyo shule ni ya kata, narudia tena ni ya kata

Sasa toka lini shule ya serikali tena ya kata ikawa complete 100%
Ck nyngn kabla hujaanzisha uzi fatlia mambo kiundani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom