Karume day ifutwe huku Tanganyika

Karume day ifutwe huku Tanganyika

Hata Magufuli ameona ni upuuzi kwenda kusali kwa Kiarabu kwenye kaburi la Karume. Kajitafutia udhuru, Rwanda.

a47ccdda-d31b-43bc-82b9-7f3a2f2b44f6.jpg

Mambo ya protocol hayo, mwenye baba yuko mbali na kaburi.
 
Sherehe zote mbili za maaadhimisho hufanyika chini ya Sheria "The Founders of The Nation Honouring Procedures Act, 2004". Sheria hii pamoja na mambo mengine imeainisha siku ya kumbukumbu za waasisi hao.

Aidha, imetoa utaratibu wa namna ya utunzaji na utumiaji wa nyaraka mbalimbali zinazowahusu waasisi hao. Pia, Sheria hii imetamka kuwepo mchakato wa kujenga Kituo "archive" ya waasisi--mpaka sasa imeshaamuliwa kitajengwa Bagamoyo kwa kushirikiana na Makumbusho ya Taifa pamoja na Nyaraka.

Wawili hawa ni sehemu muhimu wa historia ya Tanzania ya leo, ile ya mara baada ya vuguvugu la kukataa ukoloni. Duniani kote waasisi huenziwa na siku zao kukumbukwa. Marekani kwa mfano, hata kama si kwa mapumziko, kila mwaka wana Martin Luther Day ambayo huitumia kuwatunza wanaharakati mbalimbali wa Haki za Binadamu duniani.
 
Leo ni Karume day ambapo huwa sielewagi umuhimu wake kwa huku Tanganyika hadi kuifanya iwe mapumziko. Naona Rais pia kaamua kwenda kuhudhuria kumbukumbu ya mauaji ya halaiki huko Rwanda, nadhani ipo haja ya kuifuta hii siku kwa huku Tanganyika kwani inaongeza tu utitiri wa siku za mapumziko.

Swali la kujiuliza ni kuwa hivi huyo Karume hadi tumkumbuke alitufanyia nini hasa Watanganyika?

Suali zuri sana maana hata kule wazanzibari wanasema kuna umuhimu gani kuwepo kwa Nyerere Day wakati wao wanamuona kuwa kama mtu ambae aliewaletea nuksi kwenye visiwa vyao.
 
Nchi huru ijeuke kuwa mkoa? Ama kweli Tanzania tuna wajinga wengi Mno! Elimu elimu elimu
Zanzibar ni nchi huru? unajua sifa za nchi huru wewe? unahitaji kusoma somo la Civics au uraia, nitakulipia hela ya tuition
 
Rais Magufuli yupo nchini Rwanda akihudhulia maazimisho ya kumbukumbu zoa mauaji ya Kimbali yaliyotokea 1994. Ni kitu kizuri kinachoenesha mshikamano na jirani zetu kuonesha jinsi gani tumeguswa na maafa hayo makubwa.

Ikumbukwe pia leo ni maazimisho ya kumbukumbu ya kifo cha mmoja wa waasisi wa Taifa hili hayatiMzee wetu mwanamapinduzi Abeid Aman Karume.

Swali kwa Watanzania ni kwamba event ipi ni muhimu Kitaifa kati ya hizo mbili? Je haikuwa muhimu sana kwa Rais kuwa Zanzibar na kushirikiana na Wanzanzibari kuazimisha kifo cha Karume?

Je, ingekuwa kifo cha Nyerere, Magufuli angekwenda Kigali?

Mimi binafsi, msimamo wangu ni kuwa Rais amekengeuka. Natoa hoja.
Ni sahihi kabisa kuendelea na ziara yake Rwanda, pamoja na kushiriki kuomboleza vifo vya halaiki vya nyarwanda, badala ya kuhudhuria maombilezo ya kio cha muasisi wa muungano, hayati Karume.
Sababu kuu ni
1. kuwa Zanzibar ni koloni lake
2. kuwa "beep" Zanzibar kuvunja desturi na mila kwa kumpeleka mwanamke kwenye makaburi na kuweka shada la maua mbele ya kadamunasi kinyume na maaadili
3. Masheikh wa Bakwata na wale CCM Zanzibar wakabariki kitendo hicho
4. Ulamaa wa Zanzibar Mufti mkuu wa Zanzibar ameikacha shughuli hiyo kulinda heshima yake
 
Rais Magufuli yupo nchini Rwanda akihudhulia maazimisho ya kumbukumbu zoa mauaji ya Kimbali yaliyotokea 1994. Ni kitu kizuri kinachoenesha mshikamano na jirani zetu kuonesha jinsi gani tumeguswa na maafa hayo makubwa.

Ikumbukwe pia leo ni maazimisho ya kumbukumbu ya kifo cha mmoja wa waasisi wa Taifa hili hayatiMzee wetu mwanamapinduzi Abeid Aman Karume.

Swali kwa Watanzania ni kwamba event ipi ni muhimu Kitaifa kati ya hizo mbili? Je haikuwa muhimu sana kwa Rais kuwa Zanzibar na kushirikiana na Wanzanzibari kuazimisha kifo cha Karume?

Je, ingekuwa kifo cha Nyerere, Magufuli angekwenda Kigali?

Mimi binafsi, msimamo wangu ni kuwa Rais amekengeuka. Natoa hoja.
Zanzibar alikuwepo Makamu au ulitaka wote walundikane z'bar?
 
Yaani kwanza kabla ya kubishana naomba kujua elimu yako kwanza.Samahani kwa hilo.So Zanzibar ni mkoa? Civics ipi ilikuambia Zanzibar sio nchi?Ama kweli vila...za wapo wengi.utakuwa ulisoma kenya wewe.https://www.google.com/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0ahUKEwi2vajizv7LAhVMXhoKHdc0CxsQFggdMAA&url=https://sw.wikipedia.org/wiki/Jamhuri_ya_Watu_wa_Zanzibar&usg=AFQjCNFCGhcj5cyJUIjgHij8xasKOuTqaQ&sig2=ofB8LrBCa2lZXgr1JvybQA
kwani nimesema Zanzibar ni mkoa? nimesema Zanzibar ingekua mkoa, unaelewa maana ya neno ingekuwa wewe 'msomi'?
usikurupuke kujibu watu kama hujawaelewa
 
Rais Magufuli yupo nchini Rwanda akihudhulia maazimisho ya kumbukumbu zoa mauaji ya Kimbali yaliyotokea 1994. Ni kitu kizuri kinachoenesha mshikamano na jirani zetu kuonesha jinsi gani tumeguswa na maafa hayo makubwa.

Ikumbukwe pia leo ni maazimisho ya kumbukumbu ya kifo cha mmoja wa waasisi wa Taifa hili hayatiMzee wetu mwanamapinduzi Abeid Aman Karume.

Swali kwa Watanzania ni kwamba event ipi ni muhimu Kitaifa kati ya hizo mbili? Je haikuwa muhimu sana kwa Rais kuwa Zanzibar na kushirikiana na Wanzanzibari kuazimisha kifo cha Karume?

Je, ingekuwa kifo cha Nyerere, Magufuli angekwenda Kigali?

Mimi binafsi, msimamo wangu ni kuwa Rais amekengeuka. Natoa hoja.
Zanzibar wamesimika kibaraka tayari hakuna la ziada huko.
 
zanzibar ni koloni so mkoloni ana power za kuamua lolote linalomuhusu mkoloniwa
 
Amezindua daraja la Rusumo

Amepunguza vizuizi vilivyopo njiani ambavyo vilikuwa vikiwasumbua sana madereva nakuwa vitatu

Amewashawishi wanyarwanda kutumia bandari ya Dar es Salaam badala ya ile ya Mombasa kupitishia mizigo yao..

Sasa Zanzibar si angeenda kula tende tu na mtoli?
 
Basi na Dr Sheni naye asije ile ya Nyerere, si ipo! halafu tuone kama kutakuwa na thread of this like; kama ni nchi mbona hamuwezi kufanya mambo yenu?
 
Leo ni Karume day ambapo huwa sielewagi umuhimu wake kwa huku Tanganyika hadi kuifanya iwe mapumziko. Naona Rais pia kaamua kwenda kuhudhuria kumbukumbu ya mauaji ya halaiki huko Rwanda, nadhani ipo haja ya kuifuta hii siku kwa huku Tanganyika kwani inaongeza tu utitiri wa siku za mapumziko.

Swali la kujiuliza ni kuwa hivi huyo Karume hadi tumkumbuke alitufanyia nini hasa Watanganyika?
Karume day ingebaki ZnZ tu, maana ya Zanzibar hayatuhusu.
 
kwani nimesema Zanzibar ni mkoa? nimesema Zanzibar ingekua mkoa, unaelewa maana ya neno ingekuwa wewe 'msomi'?
usikurupuke kujibu watu kama hujawaelewa
Hujui hata unabishana nini naomba niishie hapo!
 
Karume day ibaki kwa kuwa ni siku ya kupumzika hatuendi vibaruani.
 
Haina maana yoyote ni kichaka tu cha cha kujificha ili watu wakapige viroba kutwa nzima.
 
Ni ajabu na kweli Karume ni sawa na mkuu wa wilaya ya kibiti,sasa tunaadhimisha sikuu ya kiongozi asietuhusu ipo siku tutandaa Nkurunziza day
 
Back
Top Bottom