Karume day ifutwe huku Tanganyika

Karume day ifutwe huku Tanganyika

Mtoa mada ulitaka JPM kama JPM kuhudhuria au raisi wa JMT.
Then kama raisi wa JMT kawakilishwa na mama Samia ila kama JPM alikuwa ngambo kikazi.
 
Post no 9 amekujibu vizuri nyie ndio kidumu cha mapunduzi mnaimba tu bila tafakari. Wacha wafu wazike wafu wao
 
Hivi maadhimisho ya genocide yamehudhuriwa na marais gani wengine zaidi ya magufuli?
Na hapo ndo mahusiano maalum yanapojengwa. Unafungua border na kuimarisha ushirikiano wa kisiasa na kiuchumi.

Nategemea kuona mtririko wa kiuchumi wa Dar Rusumo Kigali ukiongezeka mara dufu.

Ukibanwa na kina MCC afu nyumbani ukabanwa na kina CoW huna pa kutokea.
Sasa wababe wawili wa CoW, Kagame na Kaguta washaunga bogi....

We hujui mambo ya pasi ndefu ngoja niishie hapa hapa.
 
Moderators, there are good threads out there you don't publish au kuziondoa haraka na ku-entertain this nonsense!! Ridiculously disgusting thread.
 
Salaam kwako Mhe. Rais,

Napenda nitoe mapendekezo yangu kuhusu umuhimu wa kuzifuta siku za Nyerere na Karume days hasa katika kipindi hiki cha HAPA KAZI TU. Nafahamu kuwa huu msemo una maana kubwa sana kwa watanzania hasa ukizingatia kuwa nchi yetu bado ni maskini wa kujitakia.

Katika hali na mazingira ya sasa, tunahitaji muda mwingi wa kufanya kazi kwa bidii na muda tuliona hautoshi kutufikisha pale tunapokusudia kufika.

Wenzetu nchi za jirani na zile tulizokuwa na uchumi unaofanana wakati wa uhuru walishafika mbali, sisi bado tunasuasua na sikukuu za akina Nyerere, Karume nyingine za ovyoovyo tu.

Mhe. Rais wangu Magu, yaani tunasimamisha nchi nzima kwa siku mbili hatufanyi kazi eti tunaazimisha kufa kwa Nyerere na Karume!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tukumbuke hapo zamani, tulikuwa na sikukuu za kuzaliwa CCM kama sikukuu za kitaifa lakini kwa busara za watu zikaondolewa na kubaki za chama husika.

Ni wakati sasa wa kuziondoa sikukuu hizi kama siku za kitaifa za mapunziko ili wananchi waendelee kuchapa kazi ili kulinusuru Taifa letu hapa lilipo.

Nawasilisha.
 
Ungeleta na Ombi kwa jamii kufuta sikukuu za Kuzaliwa (Happy Birthdays) hizi nazo sio tu kuwa zinasababisha matumizi mabaya ya familia lakini pia zinasababisha watu kutofanya kazi.
 
magufuli hapendi sherehe za kipuuzi ambazo hazina tija, yupo Rwanda anafanya connection zenye tija kiuchumi....ndio rais tunayemtaka....
kuhudhuria hiyo Rwandan genocide ni kama sehemu ya ku establish goodwill na Wanyarwanda ambao wana tija zaidi kwetu kiuchumi kuliko Zanzibar.
Zanzibar ni liability kwetu.

Zanzibar wangekubali kuwa mkoa ndani ya Tanzania basi, mambo yangekuwa simple sana
Nchi huru ijeuke kuwa mkoa? Ama kweli Tanzania tuna wajinga wengi Mno! Elimu elimu elimu
 
magufuli hapendi sherehe za kipuuzi ambazo hazina tija, yupo Rwanda anafanya connection zenye tija kiuchumi....ndio rais tunayemtaka....
kuhudhuria hiyo Rwandan genocide ni kama sehemu ya ku establish goodwill na Wanyarwanda ambao wana tija zaidi kwetu kiuchumi kuliko Zanzibar.
Zanzibar ni liability kwetu.

Zanzibar wangekubali kuwa mkoa ndani ya Tanzania basi, mambo yangekuwa simple sana
Thread closed.
 
Rais Magufuli yupo nchini Rwanda akihudhulia maazimisho ya kumbukumbu zoa mauaji ya Kimbali yaliyotokea 1994. Ni kitu kizuri kinachoenesha mshikamano na jirani zetu kuonesha jinsi gani tumeguswa na maafa hayo makubwa.

Ikumbukwe pia leo ni maazimisho ya kumbukumbu ya kifo cha mmoja wa waasisi wa Taifa hili hayatiMzee wetu mwanamapinduzi Abeid Aman Karume.

Swali kwa Watanzania ni kwamba event ipi ni muhimu Kitaifa kati ya hizo mbili? Je haikuwa muhimu sana kwa Rais kuwa Zanzibar na kushirikiana na Wanzanzibari kuazimisha kifo cha Karume?

Je, ingekuwa kifo cha Nyerere, Magufuli angekwenda Kigali?

Mimi binafsi, msimamo wangu ni kuwa Rais amekengeuka. Natoa hoja.
alimtuma makamu wa raisi kwenda kumuwakilisha yeye zanzibar... alafu yeye akaenda kutengeneza mahusiano njee... ni mipango tu..

Na kama ni mfatiliaji mzuri unaona ni jinsi gani magufuli anajaribu kurudisha thamani ya makamu wa raisi kwa kumpa kazi za kubwa... kumuwakilisha sehemu mbali mbali kama unakumbuka alienda hata south afrika...
kwangu mimi sijaona ubaya wowote
 
alimtuma makamu wa raisi kwenda kumuwakilisha yeye zanzibar... alafu yeye akaenda kutengeneza mahusiano njee... ni mipango tu..

Na kama ni mfatiliaji mzuri unaona ni jinsi gani magufuli anajaribu kurudisha thamani ya makamu wa raisi kwa kumpa kazi za kubwa... kumuwakilisha sehemu mbali mbali kama unakumbuka alienda hata south afrika...
kwangu mimi sijaona ubaya wowote
kumuwakilisha kwenye hitma ndio unaona kitu kikubwa,ziara ya rwanda pia ni kwenda kwenye hitma ya genocide ya 1994 rais amekacha msiba wa nyumbani akaenda msiba wa jirani
 
Angefuta na week end zote ili tufanye tu kazi basi,...china kuna sikukui za tomb sweeping ceremony na ni ya kitaifa,acha hizo unaweza piga kazi siku chache ukaendrlea kuliko aloyepiga miaka
 
UKWELI ni kuwa MAGUFULI hana habari na Zanzibar, kwake ni kama MKOA wa Tabora
 
kweli hapa kazi tu!

hizo hazifutiki kirahisi, labda ku zi modify

mwisho utataka tufute hata weusi wetu huu
 
Naunga mkono hoja Karume day ifutwe huku Tanganyika, lakini pia Nyerere Day ifutwe huko Zanzibar kila mtu aikumbuke kivyake (Matendo ya Mitume 17: 26 "Naye alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja, wakae juu ya uso wa nchi yote, akiisha kuwawekea nyakati alizoziamuru tangu zamani, na MIPAKA YA MAKAZI YAO.."
 
Back
Top Bottom