Karume day ifutwe huku Tanganyika

Karume day ifutwe huku Tanganyika

Mk
Sherehe zote mbili za maaadhimisho hufanyika chini ya Sheria "The Founders of The Nation Honouring Procedures Act, 2004". Sheria hii pamoja na mambo mengine imeainisha siku ya kumbukumbu za waasisi hao.

Aidha, imetoa utaratibu wa namna ya utunzaji na utumiaji wa nyaraka mbalimbali zinazowahusu waasisi hao. Pia, Sheria hii imetamka kuwepo mchakato wa kujenga Kituo "archive" ya waasisi--mpaka sasa imeshaamuliwa kitajengwa Bagamoyo kwa kushirikiana na Makumbusho ya Taifa pamoja na Nyaraka.


Wawili hawa ni sehemu muhimu wa historia ya Tanzania ya leo, ile ya mara baada ya vuguvugu la kukataa ukoloni. Duniani kote waasisi huenziwa na siku zao kukumbukwa. Marekani kwa mfano, hata kama si kwa mapumziko, kila mwaka wana Martin Luther Day ambayo huitumia kuwatunza wanaharakati mbalimbali wa Haki za Binadamu duniani.
U
Mkuuu.muasis wetu ni nyerere sio karume
 
Karume day ilianzishwa lini na rais gani? mbona mnatujazia siku za kupumzika kwenye nchi ya maskini kama tanzania?
 
Sherehe za mapinduzi ya Zanzibar yabaki kwa wazanzibari, Na sikukuu ya Uhuru ibaki kwa Tanganyika halikadhalika kwa nyerere day Na karume, yanayowahusu watanganyika wahusike watanganyika Na ya wazanzibar wahusike wazanzibar maana CCM wamelianzisha,
 
Ndani ya Koti la Muungano, Karume Day itakuwepo milele
 
Back
Top Bottom