Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 17,895
- 25,944
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Mke wangu aliondoka mwezi uliopita akaenda kwao kusalimia huko Ukerewe Mwanza Tanzania. Lakini sasa karudi anajua kila aina ya kugegedena wakati zamani hakua hivyo. Staili aliyokuwa anajua zamani ni kifo cha mende tu lakini kwa sasa anajua staili zaidi ya 50.
Mara ya ubavu ubavu, mara staili ya njiwa, mara staili ya kuzama mtumbwi, mara staili ta ziwani, mara staili ya mbuzi kagoma, mara staili ya miguu juu mikono chini.Yaani kaja na staili kedekede kitu ambacho kinanipa wenge na hofu sana sijui hata nifanyeje masela.
Najiuliza maswali mengi sana; je ni nani kamfundisha mambo haya? Kayajulia wapi? Kwanini kayajua baada ya kwenda kwao? Mbona zamani alikuwa hayajui? Kwanini sasa na si zamani? Nawaza sana.
LONDON BABY