Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,309
- 4,017
Uvumbuzi, uchunguzi na Uundaji kutoka uarabuni ni moja ya chachu zilizosaidia katika ukuaji na civilization huko ulaya.
Huku mzungu akiwa anahangaika na maswala ya dini yeye mwarabu alikuwa katika age ya science. Kwa kipindi hicho waarabu waliweza kubuni vitu kama order of algebra, magnetic compass, vifaa vya navigation, printing, tiba na njia za kuepuka za magonjwa mbali mbali, utengenezaji wa kioo, taa ya mafuta na vingine vingi sana.
Baadae angukio lao likawa kwenye dini huku misingi ya dini ndio ikawa katiba ya maisha yao katika nyanja zote. Hii ilipelekea kuanguka katika sekta ya ufumbuzi na uundaji huku itikadi za dini ikiwa ndio msimamo wao mkuu.
Mzungu aliamua kuitoa dini kama ndio swala lao la msingi na wakashift focus yao katika uundaji, uchunguzi na uvumbuzi ili kuwasaidia katika maendeleo yao.
Huku wakitumia na ku-upgrade technology waliyo adapt kutoka kwa majirani na technology yao wenyewe ilipelekea Ulaya hadi leo kuwa juu kimaendeleo kuliko bara lolote duniani.
Ila recently naona nchi chache za waarabu mambo yao yamebadilika kidogo huku wakiamua kuukubali usasa (modernity) na ku-invest zaidi katika futurism na tourism.