Karne ya 21 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karne ya 21

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Calist, Jan 14, 2011.

 1. C

  Calist Senior Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Najiuliza sipati majibu, hivi karne ya 21 bado wa TZ tunahangaika na vibatari/ mishumaa tena mjini ? Ngereja na Mh. Kikwete hivi mnajisikiaje happ mlipo ? Kuachia ngazi mwasubiri nini ?
   
Loading...