ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,467
- 28,902
Karma ni stori tunayojiambia ili kuyapunguza maumivu ya maisha, lakini kweli kabisa, maisha ni kama roulette—sometimes unashinda, sometimes unapoteza, na mara nyingi inategemea tu uko kwenye angle gani.
Anayewaonea atakufa, ataacha mali aliowachukulia kwa utapeli na itakayorithiwa na watoto ili wawaonee wajukuu zenu. Hakuna nguvu yoyote isionekana eti itakuja kuwamaliza wale watoto au mali yake. Ni wao wenyewe na maamuzi yao.
Tabu itampata kila mtu na haswa mnyonge wa kuonewa na asie na pesa wala maudhi na yoyote na mtu yoyote.
Life's b++ch and then you die!