Mimi naamini sana ukomunisti lakin mfumo wa maisha unanibidi niishi kwa katika ubepari kulingana na uhalisia wa maisha lakin mfumo unabadilika sana hasa miaka ya karibuni.
falsafa (Philosophy)
"feel Sophia "
"mpende Sophia"
"sophia=busara"
"philo =mapenzi"
"Sophie's=busara
"philosophy ni kupenda busara"
"sasa kuna busara gani katika unyonyaji"
"je ni sawa kwa binadamu mmoja kumnyonya mwengine kiuchumi,kidini,kiutamaduni,kimawazo? kama tunaamini binadamu ni sawa na wote tumeumbwa na mungu mmoja ambaye ni baba yetu sote
" kama ni hivo kwa nini mzungu anaona weusi hatufai?waarabu hawa hawafai, Asia kama wanaahueni.
Sasa kama watu tunaofikiri katika busara hatuwaungi mkono.
Sent from my S6 using
JamiiForums mobile app