Karl Marx, Adam Smith and Others…!

Hao walitajwa katika ?MADA hii ndio waliochangia Kuisambaratisha Afrika.

Sisi waafrika tunahitaji tujadili wanafalsafa wa Kiafrika na michango yao chanya katika bara letu.

Sikatai waliotajwa kwenye maa sio wanafalsafa, na kwamba hawana mchango hapa Afrika, ila ninapinga dhana ya kuwa ni wao ndio wameweza kutatua yanayojiri Barani. Ila, kwa wazungu pouwa, napo huko tunajua pamoja na falsafa zao, hakuna kisichoonekana huko....walipotoka.Vita, Mauaji, Umasikini, Uchumi mbaya, Haki za kusuasua n.k

Tuendelee na mjadala mwema
 
Ni mfumo wa kufukarisha watu na most of the time unazaa udikteta na occultism
Ujamaa ni kirusi kwa sabab side effects zake ni nyingi kubwa na mbaya ni kutengeneza madikteta,siupendi ujamaa na staki kuwa mjamaa,Ni mfumo wa kimasikini kuanzia kichwani Hadi kipato
 
Ruksa pia kutaja na kumuelezea yoyote sio lazima Marx na Smith
Nyerere angeicron falsafa yake ningemwelewa Sana,angesema tu siasa za kujitegemea na siyo ujamaa na kujitegemea,tungeweza kuchagua mode of production yyt tukaiacha ujamaa na bado tukajitegemea,,,,,ujamaa ukikukolea kichwani unaweza ukahudhuria msiba na kuanza kulia kwa uchungu kuliko wafiwa,unajua Ni uwendawazimu kugawana na mtu kitu chako ambacho hata wewe hakikutoshelezi,huo ndo ujinga wa ujamaa,siupendi huu mfumo wa shetani
 
Ndugu Buffet, naomba nianze kwa kukusii upunguze dhihaka na kejeli. Sio kuhemeka tu ndiko kutafikisha jumbe lako.
Naomba ni kuulize na naomba uandike Ujamaa na Kujitegemea kwa King-eleza bila ya kutoa tafsiri yako ambayo naona kama inapotosha au ni ile uliyolishwa ambayo imepotoshwa na waliopita.

....ndio tuweze kuendelea
 
Ruksa pia kutaja na kumuelezea yoyote sio lazima Marx na Smith

Ndugu Buffet, naomba nianze kwa kukusii upunguze dhihaka na kejeli. Sio kuhemeka tu ndiko kutafikisha jumbe lako.
Naomba ni kuulize na naomba uandike Ujamaa na Kujitegemea kwa King-eleza bila ya kutoa tafsiri yako ambayo naona kama inapotosha au ni ile uliyolishwa ambayo imepotoshwa na waliopita.

....ndio tuweze kuendele
Communalism and self reliance ndo ujamaa na kujitegemea,nimeandika hicho kingereza na tafsiri yake,haya tuendelee sasa
 
Karl Marx ndo aliharibu zaid
Mkuu, naona tuna medani nyingi hapa JF.

Suala la kitaaluma kama hili la falsafa huwa halina majibu mepesi mepesi.

Kudai karl marx ndie aliyeharibu zaidi halina mshiko....na Usikatae....ila Najua kwa hayo umeelemea upande gani, sio mbaya wala sio mapungufu ila inaonyesha hutakuwa na Usawa wa kujadili falsafa, kwa maoni yangu, kama inavyotakikana....ya kukubali au kutokubaliana kwa kukubaliana na kutokukubalina kwa kukubali kutokubaliana na kukubaliana.
Karl Marx Aliharibu nini zaidi?, manake kwa madai hayo ni kwamba hata hao wengine waliharibu pia, au kwa lugha nyingine unakubalina mtazamo wangu wa kuwa "walichangia kisambaratisha" Afrika.
Tiendeleee....
 
The biggest mistake kwny mifumo ya kijamaa ni kukandamiza haki za binadamu,pia communism inahubiri equality ambayo haipo,ktk mfumo wa kijamaa kiongoz aweza fikiria na kuamua lolote kwa niaba ya raia wengine wote,swali ni je,vp akikosea au kupotoka????communists are the devil's workshop
Communism na dictatorship zinaenda sambamba huwez tenganisha
 
Communism na dictatorship zinaenda sambamba huwez tenganisha
Watawala wanaoamin ktk ujamaa hutaka watu wote wawe wafuasi wao,usipokubaliana nao hata pale wanapokosea utanyamazishwa by any means at any cost,hata kwa kukupoteza,huu mfumo Ni wa hovyo mno
 
Mkuu, naona tuna medani nyingi hapa JF.

Suala la kitaaluma kama hili la falsafa huwa halina majibu mepesi mepesi.

Kudai karl marx ndie aliyeharibu zaidi halina mshiko....na Usikatae....ila Najua kwa hayo umeelemea upande gani, sio mbaya wala sio mapungufu ila inaonyesha hutakuwa na Usawa wa kujadili falsafa, kwa maoni yangu, kama inavyotakikana....ya kukubali au kutokubaliana kwa kukubaliana na kutokukubalina kwa kukubali kutokubaliana na kukubaliana.
Karl Marx Aliharibu nini zaidi?, manake kwa madai hayo ni kwamba hata hao wengine waliharibu pia, au kwa lugha nyingine unakubalina mtazamo wangu wa kuwa "walichangia kisambaratisha" Afrika.
Tiendeleee....
Siupendi Ujamaa na aina zake zote,kwani mara nyingi huzaa udikteta na umungu mtu,unafiki na kujikomba,
 
1. Kar Marx

2. Jean Jack Rousseau

3. John Locke

4. Nyerere J.K

Katika hao wote napenda falsafa zaidi ya Mwl Nyerere ingawa in practical alifeli Ila African socialism ndio the best.

Nyerere's philosophy of African socialism provided the socialist project with an indigenous African identity that was grounded in African historical memories and realities. Both the philosophy and the practice also presented the possibility of constructing socialism in non-European peripheral capitalist societies. A combination of hostile internal and external contradictions, past and present, however, made what was historically necessary historically impossible.....

Kwenye elimu.

Nyerere aliamini kwamba elimu ni kitu kinachweza kumfanya MTU kuwa huru, Huru kimawazo vilevile huru ki fikra na sio elimu ya kumfanya MTU kuwa WA ndio mzee au elimu inayomfanya MTU kuwa mtumwa WA utamafuni flani.

Then kwenye African Pan Africanism...
For Africa to develop it needs to be totally liberated from colonialism as well as neo colonialism...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: TPP
Kuna roho ya mauti inaawaandama kizazi cha Karl Max. Wanapenda kujinyonga
why ? tutakufa mawazo hayafi coz tunarithi turudi katk maada Karl max yeye ni mkomunisti ambaye falsafa yake ni pana yeye tunamfananisha na yule Ghandi wa India koz wote wanamawazo yanayolingana Ila tu namna ya kufikia malengo ni tofauti.

DEVELOPMENT: KARL MAX yeye mawazo yake ni kwamba kama unahitaji maendeleo basi unahitaji mabadiliko jambo ambalo Gandi anakubaliana na max .

DEVELOPMENT IN WHICH MANNER: Karl max anaamin usawa kwamba maendeleo lazima yawe na usawa kwa watu pasiwepo na unyonyaji swala ambalo Gandi pia anaafiki.

COST OF DEVELOPMENT : Karl max yeye anaamini haya maendeleo tunayoyatafuta yana hitaji mabadiliko mabadiliko ambayo yana gharama kubwa na inatakiwa yule anayoyatafuta awe tayari kuyalipia hata kama ni kwa damu (Karl max anaamini violence inahitajika kuleta maendeleo.
Lakini Gandi yeye in mkomunist ambaye haonelei kama violence inaweza leta mabadiliko ambayo yataleta maendeleo

Karl max & Gandi vs Adam smith

Karl max & Gandi wanaelezea maendeleo in general way while Adam smith anadevelop falsafa ambazo zimejikita katika nyanja moja ambayo ni uchumi kwa hio falsafa ya maendeleo ya Adam smith haiwezi ikatumika kusolve matatizo ya maendeleo kama si yale yaliokaa kiuchumi na umilikaji asset lakin falsafa ya Karl max ni pana mno inagusa nyanja nyingi za maisha. kwa mfano mzazi anaweza kutumia Marxist philosophy kurekebisha tabia ya wanae nyumbani na kuwabadilisha kutoka tabia walioyo nayo mpaka kuwa na tabia ambayo mzazi anataka kuona mwanae anayo.Lakin falsafa ya Smith inafanya kazi katika uchumi nimewasoma wote ndivo nimewaelewa.

sasa@Da vincci watunaopenda usawa hatuji kuisha amini tunapungua kwa wakat Ila hatuji potea ubepari ni unyang'anyi ,wizi,maonezi,ubwana sisi hatuishi humo kk

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
 
ikumbukwe kuwa kupanga ni kuchagua kama mataifa ya kiafrica yabakubaliana na ubepari basi technically tumefail koz ubepari unahitaji figisu sana kufikia maendeleo na bado hatujawa matured ni sawa na mtu kaamua kuwa mwizi na kuishi na wezi wenzake wafanye mambo yao lakin mwiz mmoja anaibiwa sana koz yeye ni mchanga kwenye game.

ukomunisti ni kwa watu walio serious sana wao hawataki utani na ujinga mfano mzuri so mnamuona putin

Sent from my S6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom