Karimjee kumuaga Sumari

hata wewe ni fisadi pia tunakustiri tu
 
unafikiRia kwa kutumia masaburi.

Kuna mtu anahusika sana na mawazo ya masaburi! Hivi ni nani vile? Ana cheo gani na chama chake ni kipi? Siku za karibuni naanza kupoteza uwezo wa kufikiri!
 
Hojatete more updates please maana nimepishana na mwili kwenye gari ya Corrona ukiongozwa na kingora cha pikipiki ya trafic!
yea mwili unapelekwa nyumban kwake badae mhimbili
 
ni mbunge wa arumeru baba wa watoto wa umri wangu
Mkuu Hojatete, kama update ya mwisho ilikuwa hii ya saa 13:48 na saa hizi ni 14:54 na hakuna update nyingine yoyote kutoka hapo Karimjee, then naasume ile morgue niliyoiona ya kampuni ya Corrona atakuwa ndiye akipelekwa nyumbani!.

Asante Hojatete kwa update.
Rip Jerry Solomon!.
 
Sikujua kama najibizana na meningitis! Inawezekana hata kumbukumbu huna, Jibu la nani alishinda linapatikana katika title ya thread hii unayoichangia.

mkuu kuna kushinda na kutangazwa umeshinda,changanya na za kwako!!
 
nasikitika sijaona picha au hakuna ruhusa ya kupiga picha nini?
 
Jumanne siku Kamanda Regia anaagwa wachangiaji hapa JF walifikia zaidi ya 500.Leo tunamuaga Sumari wachangiaji JF hawajafikia hata 130.Kwa nini lakini wana JF?
 
Jumanne siku Kamanda Regia anaagwa wachangiaji hapa JF walifikia zaidi ya 500.Leo tunamuaga Sumari wachangiaji JF hawajafikia hata 130.Kwa nini lakini wana JF?
Molemo, Regia alikuwa member ila pia si unajua wanachama wengi humu jf ni mashabiki wa wapi!.
 
Molemo, Regia alikuwa member ila pia si unajua wanachama wengi humu jf ni mashabiki wa wapi!.

Kwa hiyo hata ule umati uliomsindikiza marehemu RM kuanzia kanisani tabata, karimjee hadi ifakara wote wale walikuwa chadema.
Statement yako inanipa conclusion kuwa anachosema Dr. Slaa kuwa mlimwibia kura ni kweli.
 
Jumanne siku Kamanda Regia anaagwa wachangiaji hapa JF walifikia zaidi ya 500.Leo tunamuaga Sumari wachangiaji JF hawajafikia hata 130.Kwa nini lakini wana JF?

Kumbukeni kuwa leo ni jumamosi na kwa wafanyakazi wengi leo ni siku ya mapumziko.
Siku ya kumuaga marehemu Regia ilikuwa ni siku ya kazi hivyo watu wengi walichangia kupitia makazini.
Watu wengi huwa wana-access internet huko makazini kwao na hawana access hiyo majumbani.
Usitarajie kupata wachangiaji wengi katika hali kama hiyo.
 


Bila kusahau Orijino komedi na TOT ya Komba
 
Kwa hiyo hata ule umati uliomsindikiza marehemu RM kuanzia kanisani tabata, karimjee hadi ifakara wote wale walikuwa chadema.
Statement yako inanipa conclusion kuwa anachosema Dr. Slaa kuwa mlimwibia kura ni kweli.
Mkuu Mkeshaji, kwa vile unaamini Dr. aliibiwa kura, hivyo kila ambaye sio Chadema basi ndio mwizi wenu?!.
 
Wigi la Makinda linataka kuvuka lkn analiwahi dah aibu kwa spika.
Poleni sana kwa msiba na tunashukuru kwa taarifa.ingekuwa msahuri wake kitu cha kwanza ni kuacha kuvaa hilo wigu, anatakiwa awe yeye na nywele zake ambazo nahisi ni nzuri sana kwake. RIP Sumari
 
Jumanne siku Kamanda Regia anaagwa wachangiaji hapa JF walifikia zaidi ya 500.Leo tunamuaga Sumari wachangiaji JF hawajafikia hata 130.Kwa nini lakini wana JF?
Jibu ni rahisi......Regia Mtema(R.I.P) alikuwa ni member wa JF(tangu akitumia jina la Gender Sensitive) na alikuwa ni active member kabla na baada ya kuwa Mbunge.......Wana JF walikuwa wakimuaga Member mwenzao ndio maana wachangiaji walikuw wengi.......Jerry S. Sumari(R.I.P) yeye hakuwahi kujulikana kama ni Member wa JF zaidi ya kujulikana kama mwanasiasa ambaye alikuwa ni Mbunge na amewahi kuwa Naibu Waziri.
 
Molemo, Regia alikuwa member ila pia si unajua wanachama wengi humu jf ni mashabiki wa wapi!.
Pasco,

Kwenye msiba hatuna CCM,CHADEMA,CUF,NCCR-Mageuzi,UDP n.k......Kwenye msiba tunakuwa wamoja.....

Kwenye msiba tunaweka tofauti zetu pembeni na kuwa wamoja kama watanzania....
 
Molemo, Regia alikuwa member ila pia si unajua wanachama wengi humu jf ni mashabiki wa wapi!.

Wanatakiwa waache ubaguzi, wanaJF tushikamane kama walivyoshikimana viongozi wao katika msiba japo sijajua kama jamaa leo alitoa mkono. Hata hivyo hojatete akishapumzika kidogo atatujuza tu najua alikuwa na kazi nzito pale Karimjee.
 
ahsanteni wanajf, tukazike tuanue matanga then helcopta zipae hewani
 
Jumanne siku Kamanda Regia anaagwa wachangiaji hapa JF walifikia zaidi ya 500.Leo tunamuaga Sumari wachangiaji JF hawajafikia hata 130.Kwa nini lakini wana JF?

Mkuu Molemo,
Upo! wachangiaji wamejaa kule kwenye thread ya kuchukuwa jimbo la Sumari ya wana Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…