Karibuni....!!!

Aaahahahahhahaaa nimependa hiyo ya yai unapewa ujimenyee mwenyewe πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Biriani isingekuwa na spices, ningekuwa mfuasi mzuri sana.
 
Aaahahahahhahaaa nimependa hiyo ya yai unapewa ujimenyee mwenyewe [emoji39][emoji39][emoji39]

Biriani isingekuwa na spices, ningekuwa mfuasi mzuri sana.
Kwanini hutumii vyakula vyenye spices?
 
Kwanini hutumii vyakula vyenye spices?

Shibe yake haiishi haraka tumboni, nakula ila kwa nadra sana. Nakereka na kujawa gesi tumboni pia.

Kila nikikuona nakumbuka uzi wa dare or say the truth.... nabaki nacheka mwenyewe tuu.

Sijui ule uzi bado upo...!!???
 
Hee,unacheka nini sasa?,utakuwepo bado,unataka kufukua kaburi nini?
 
Hee,unacheka nini sasa?,utakuwepo bado,unataka kufukua kaburi nini?

Aaahahahahahaa hadi hapa bado nacheka tuu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Hapana sitaki hata kufukua makaburi, nilifurahi tuu ule uzi the dare part was sweet and fun than the truth part....πŸ˜….

Mie napenda sana kucheka utasema nimelewa ...😜 ila bange sijaacha kuvuta.
 
Aya bana Kasie binti mahaba
 
Aya bana Kasie binti mahaba

Cheers πŸ₯‚ Darmian.

Enjoy your weekend.

And good preparation for the coming week event .... Valentine babes πŸ˜‰
 
Cheers [emoji1635] Darmian.

Enjoy your weekend.

And good preparation for the coming week event .... Valentine babes [emoji6]
Valentine hii nipo single..jasho linanitoka!!

Thanks..na kwako pia weekend njema
 
Aaahahahahhahaaa nimependa hiyo ya yai unapewa ujimenyee mwenyewe [emoji39][emoji39][emoji39]

Biriani isingekuwa na spices, ningekuwa mfuasi mzuri sana.
Spices hutumii mkuu?
 
Hivi wakuu hapa Tanzania hatuwezi kulima mchele wa basmat?
 
Sadari wako nani?
 
Valentine hii nipo single..jasho linanitoka!!

Thanks..na kwako pia weekend njema

Kisa na mkasa wa kuwa singo ....!!???😳😳😳
Sasa utamu unaupata wapi...!!!???
 
Kisa na mkasa wa kuwa singo ....!!???[emoji15][emoji15][emoji15]
Sasa utamu unaupata wapi...!!!???
Kuchokana tu..utamu sina pa kupata for the meantime,nateseka we acha tu[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…