Karibuni

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,143
Reaction score
31,298
Hello leo jirani yangu alikuwa ana birthday ya mwanae akaniomba nimpikie pilau.
Fuata nami [emoji39][emoji39]

mama wawili
 

Attachments

  • IMG_20200506_171303.jpg
    43.5 KB · Views: 10
Nilianza kwa kukaanga vitunguu naji, vikawa brown nikaweka nyama niliyomarina4mte nikakaanga ikakaangika nikaongeza maji kiduchu tu ili nyama ilainike. Nikakaanga kaanga nikatoa.

mama wawili
 
Nikaweka hiriki, cinnamon, binzari nyembamba na simba mbili(hapa ile mchuzi masala ilikuwa imeisha huwa napenda kuiweka ili pilau liwe na rangi fulani hivi ya njano) zingatia sana vipimo vya viungo napenda binzari nyembamba kidogo na abdalasini kidogo kiasi.

mama wawili
 
Makoko.
Lengo la kupiga picha nilikuwa sijiamini kwenye kupikia mkaa.
Nina miaka aiseee sijapika pilau na wali kwenye mkaa.
Nikaona naweza kutoa bokoboko ila nimeamini mwalimu ni mwalimu limetoka vile vile navyotaka

mama wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…