utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
Kila mtu aje na supu [MENTION=67466]Donlucchese, miss chagga, farkhina, MziziMkavu, kabanga, Tyta na wengine wote
Mwanangu ndo mana nataka tuwe wengi....mara moja moja haina shida mwanangu
Marahaba mwanangu, unaenda wapi tena? Weekend hii umsaidie mama yako kazi mwanangu
Baba wewe tunafanya diet
Ni kwa ajili ya mtu mmoja ila tunafanya wote ili zoezi liende vizuri
sawa baba ...... Baba shikamoooooo ,.. Baba leo nataka niende bonga...... Baba mwambie mama nampenda..
kwa maini roast akibaki kitu hapo..