Karibuni tufanye mchakato wa breakfast wakuu...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
1391239815734.jpg
 
du ugonjwa wangu huo, hapo ongeza slice mbili za mkate na nyanya iliyokatwa na chumvi kwa mbaali na glass la fresh juice halafu unatupia seasonal fruits salad
 
ebana eeeh, maisha bavaria
 
Mkuu watufanya tutokwe miudenda...hapa nafikiria kitu cha mbwa wa moto 'hot dog'
Jiraaaniii njia ya Goba mumezidi kwa vijiwe. Jana nimepita Mfaranyaki kabla ya kwenda Mbezi Luxury, si pabaya. Huduma fast na mbuzi wamemchoma vizuri.:A S thumbs_up:
 
Hizi kuleni tu lakini zina siri nzito, ngoja nitawatupia video muone zinavyotengenezwa huko viwandani
 
Jiraaaniii njia ya Goba mumezidi kwa vijiwe. Jana nimepita Mfaranyaki kabla ya kwenda Mbezi Luxury, si pabaya. Huduma fast na mbuzi wamemchoma vizuri.:A S thumbs_up:
aisee, you talkin' bou' my neighbourhood
 
Back
Top Bottom