Karibuni tufanye mchakato wa breakfast wakuu...!!!

574-1280-x-1024.jpg
 
Jiraaaniii njia ya Goba mumezidi kwa vijiwe. Jana nimepita Mfaranyaki kabla ya kwenda Mbezi Luxury, si pabaya. Huduma fast na mbuzi wamemchoma vizuri.:A S thumbs_up:

Hahaha!!!

Jirani mi nakaa pande hii ya Safari huku,hiyo side ya Goba kwa Mfaranyaki lazima nipasake kama kuna kitu ya mbuzi...
 
Junk food, hayo madudu wala sishauri myatumie esp hizo bbq pichani (sijui tz ndio zinaitwa soseji). Kwanza haziivi vizuri coz mostly wanachoma kwa gasi bbq machine, pili sio healthy food.

Ila kwa vile watz kama kawa watu wa fasheni basi endeleeni tu lakini hot dog, yiros, pies, bbq, pasta, wraps, burger, spring rolls sio vyakula recommended
 
Jinsi muwazavyo kula, na utendaji kazi ungekua vivyo, basi nchi ingekua hatua bora kimaendeleo kuliko leo.
 
Hizi kuleni tu lakini zina siri nzito, ngoja nitawatupia video muone zinavyotengenezwa huko viwandani
Kaka hebu tupia hiyo kideo, maana hapa nilipo ni mojawapo ya chakula,Mungu wangu nimeishayala sana,uwiiiiiiiiiiii!!
 
Junk food, hayo madudu wala sishauri myatumie esp hizo bbq pichani (sijui tz ndio zinaitwa soseji). Kwanza haziivi vizuri coz mostly wanachoma kwa gasi bbq machine, pili sio healthy food.

Ila kwa vile watz kama kawa watu wa fasheni basi endeleeni tu lakini hot dog, yiros, pies, bbq, pasta, wraps, burger, spring rolls sio vyakula recommended

Hatuachi ng'oooooo.
 
Hahaha!!!

Jirani mi nakaa pande hii ya Safari huku,hiyo side ya Goba kwa Mfaranyaki lazima nipasake kama kuna kitu ya mbuzi...
Jana nimezurura weeee. Nimeenda Times Square.

Mfaranyaki pazuri. Ukienda nipe feedback ya goat.
 
Hahah!!!

Poa poa jirani ila machaka mengune unayotaja naona wagusa kabisa viota vya karibu na home...
 
Back
Top Bottom