Hivi naomba kuuliza....
Tumbaku ina Nicotine ama Nicotine huwekwa kwenye tumbaku ikifika kiwandani tena kwa baadhi tu ya sigara..
Niliaminishwa kuwa sigara kali ni salama zaidi sababu haina nicotine ni tumbaku asilia..
Tafadhali
Nakuletea my dear.... Nabeba na Ntwili....Ndo uniletee sasa...
Wawezya yayuuuuu!Ulimholaaa ......
Poleni kwa kukazwa na vyuma basi mie leo nawakaribisha Tabora kwetu mle karanga na asali, matobolwa, mahama na mziki wa kinyamwezi juu.
View attachment 654603
Karibuni karanga...
View attachment 654605
Jisevie mwenyewe karanga na asali kwa raha zetu wanyamwezi na standard gauge ndo hiyoo inakuja hata kama ni baada ya miaka 10 ijayo....
Najivunia kuwa mnyamwezi aliyechovyea Tanga. Mashika mashika mashilongo hoyeeeee.
Koolooompaaaa.
NB: leo tangu asubuhi kuna kisa cha kweli natamani kukisimulia ila roho inasita. Basi wacha nimtakie mhusika wa hicho kisa heri ya siku ya kuzaliwa, leo tarehe 19.12.2017.... iko siku nikipata kibali ntaeleza hapa yote moyo wangu uwe huru, maana ulinitafuta mwenyewe mwaka huu.
Kasie Mahabat Matata Motoo.
Kasie umenitajia mboga zangu aisee. Come close my baby tuongee cha nyumbani...
Hahahahahaa choda ya baba au ya bibi?
Hahahahaaa looh wuuhuuuuuuu
I can feel it......
Wanyamwezi oyeeh!! Japo naambiwa asili ya baba ni msumbwaNami nimefurahi kuwafahamu wanyamwezi wenzangu. Tabora mojaa, malkia mwenyewe (Queen Elizabeth) alitukubali alifika hadi Tabora miaka hiyo hapana chezea asali hehehehe.
Good idea my baby... Sasa tunalijengaje hilo sasa baby?Hahahahaaa wajua nini, nafikiri tungefanya tamasha la wanyamwezi Dar aidha makumbusho pale kijitonyama au viwanja vya leaders hapo kiwe na vyakula vya asili vya kinyamwezi maonesho ya elimu za kimila enzi hizo, vitabu vya kilugha na tafsiri zake kwa kiswahili hasa kwa wataopenda kujifunza lugha, ngoma za asili ila sio za mizimu..... na mambo kadha wa kadha ya kinyamwezi. Hiyo itatupa fursa wanyamwezi kukutana na kufurahia siku yetu.
Umekuja na wewe mwehu unipeperushie mchuchu wanguYa baba....rhomboids
Nialike kwako wewe apo, hili nikipita huko nikutafute unagawieUkifika Tabora asali na karanga utapata tuu, wanyamwezi tu wakarimu sana hasa kwenye chakula.