Nilitaka nikatambike hapaMtini pub
TupooooooooohWatu wa songea mnaitwa huku
Ndiyo ni ukweli.kabisaaNina rafiki yangu mmoja wa kike nili kutana nae Twitter anaitwa Dorothy ana ishi SONGEA sehemu inaitwa MPITIMBI.
Aliwahi kuniambia SONGEA ni wakulima hodari wana lima sana mahindi kama una mtaji una weza kuwekeza kwenye kilimo SONGEA, hatimaye kupata matokeo chanya.
Nakujaaa unipokeeeKaribu songea,
karibu mbinga,
karibu mbamba bay
Nakosajeee mlongo halisiii, nisiwepo ndani ya uzi??Nilitaka nikatambike hapa
Yaani inakuwaje mlongo hajaonekana kwenye uzi wa kunyumba
Wapo wengi mno, unakuja lini majuzi nilipita songea nilienda namtumbo msibani kuna kijiji kinaitwa sulutiNakosajeee mlongo halisiii, nisiwepo ndani ya uzi??
, kumbe JF watu wa songea wako wengi mnoo.
Aisee nilipita usiku duuh pamechangamka balaaSongea home kwetu ni pazurii
Week 3 zijazo ntakua huko Songea.Wapo wengi mno, unakuja lini majuzi nilipita songea nilienda namtumbo msibani kuna kijiji kinaitwa suluti
Halalafu dagaa wabichi wapo tele,,,,,,,,,
Songea pamechamgamka kwa kwelii,Aisee nilipita usiku duuh pamechangamka balaa
JulaiWeek 3 zijazo ntakua huko Songea.
Yeaah tutakua huko, kuvuna km koteeJulai,,maana dogo kaniambia anarudi week 3 zijazo, njoeni mvune aisee
aisee tulikua tunapaita cygo😊🤩🤩Wenyewe mnapaita kaigo
Yeah Chanta Buli imefunguliwa, almost miez miwili sasa tayari au inakaribia.Kwani Chanta buli imefunguliwa??
imefunguliwa tangu Eid 😊🤗Kwani Chanta buli imefunguliwa??
Huyo Pas P aliacha shule kidato cha 3 ili awe msanii mkubwaNi
Pas p bado anarekodi hapo PS records, nilitembelea hapo nikakuta nyimbo zake zinabamba nikamchukue nikampleka DSM studio nzuri akafanya single na bibi Yule aliyekuwa tmk nimemsahau jina somebody bb Cheka single haijafanyiwa mixing dogo kashairusha you tube, radio za kusini zimeanza kuipiga dogo kaenda mpakani huko sifuri d anafanya, niliwachukua watatu mmoja makambako anaitwa b2k mwingine Kaiser niliwapeleka studio nzuri AM records, Man selekta, na kwa good luck gozbett but unlikely akili zao zilikua bado hazijafunguka kuiona bright future niliyokuwa najaribu kuwatengenezea.
ofcourse ni pazuri sana hometown 🤩Songea home kwetu ni pazurii
Kheeeeh bas patakua panawaka mnooo, sema LA charlz ni komeshaaa, ile ni icon ya Songea.Yeah Chanta Buli imefunguliwa, almost miez miwili sasa tayari au inakaribia.