Huyo tunampa moja tuu, DOLIYANYOKO.Hoja gani unataka?? Kwani ktk huu uzi umeona watu wana compare na sehemu ingine? Hapa tupo wakunyumba na wanaoishi hapa tunazungumzia sehemu yetu.
Nyie ambao mna sehemu zenu nzuri, na za kijanjaa sisi sio shida zetu.
Kwahiyo kwa kuwa kwetu bushi na hakuna cha maana (km ambavyo mnadai) bas tusipazumgumzie? Kheeeh na nye mkazungumzie hizo sehemu zenu nzuri na za kijanja. Wala hakuna anae wazuia.
Mtuachee bhana.
Mbona MALIGU mlongo akitii kwani?Huyo tunampa moja tuu, DOLIYANYOKO.
Hapo Songea raia wameanza umafiaHaahaahuyo super charger nimesikia alipata scandal ya kupita na mke wa mjeda, wajeda nao wakapita nae. Nasikia alikuwa hoi hadi alilazwa
Weeeeee usiniambie!!!Mitaa ya Bombambili watoto walikuwa wananiita Shekhe Ubwabwa
Bomba mbili mitaa yangu, mwaka 2002 nilikuja likizo huko kuzurura nikatoka Mfaranyaki kufata Ngongoti kulikuwa na promotion ya Sabuni za Komoa. Ikafika saa 1 home nilipofika hawanioni wakati sehemu zangu za kucheza ilikuwa Kisiwa Garage,Pale Parking kwa Mfamaji,Majimaji stadium.Weeeeee usiniambie!!!
Kwahiyo wakakupa jina shehe ubwabwaBomba mbili mitaa yangu, mwaka 2002 nilikuja likizo huko kuzurura nikatoka Mfaranyaki kufata Ngongoti kulikuwa na promotion ya Sabuni za Komoa. Ikafika saa 1 home nilipofika hawanioni wakati sehemu zangu za kucheza ilikuwa Kisiwa Garage,Pale Parking kwa Mfamaji,Majimaji stadium.
Narudi home nakuta watu wapo mbele ya nyumba wanajadili namna ya kunitafuta wanajua nilipotea, na nyumba ile ilikuwa ni ya mtu anayefahamika mji wote, kesho yake raia wakajua nilipotea au kusahau nyumba.
Jumapili mkumbuke kusali kwa SuperCharger uelekeo Shule ya Tanga
Duh wakunyumba achana na watu wa songeanakwambia kwetu wamenyolewa kipindi hicho na kalembwani piga mapala yakutosha lkn wapindio kwanza wamechochewa yan ni shida kweli kweli
Wajeda wa 4 walimla mande, mtungo huo, alilazwa peramiho, kakaa week 3 alivyopona akaenda Arusha, kakaa km miezi 3 aibu ilipoisha alirud, ila huduma mara nyingi wako wasaidizi wake.Haahaahuyo super charger nimesikia alipata scandal ya kupita na mke wa mjeda, wajeda nao wakapita nae. Nasikia alikuwa hoi hadi alilazwa
Urustiii km urustii,Ushirikina kila sehemu upo usisingizie Songea tu mbona Sumbawanga wanasifika sana lakin je hakuna wageni na wamefanya maendeleo makubwa tu. Lakin hoja yako ya kutokua na chuo kikuu haina mashiko kwan kuna mikoa mingapi haina vyuo vikuu lakini wanaishi tu. Acha wivu na Dharau za kijinga karibu tule ulusiti a.k.a wakurya wanaita kichuri
Huyo tunampa moja tuu, DOLIYANYOKO.
Hahaha!na kweli huyu atakuwa ni mwalimu,Umepangiwa shule gani?
Sijui chochote, sienda huko zaidi ya mwaka na nusu.hivi unajua supercharger alikutwa na nn??
Daaah, mke wa mtu sumu, nitamtafuta kwenye simu. Mdogo wake alikuwa anaimba anaitwa Tabla kuna wimbo alimshirikisha Ben Pol ukahit kipindi hicho.Wajeda wa 4 walimla mande, mtungo huo, alilazwa peramiho, kakaa week 3 alivyopona akaenda Arusha, kakaa km miezi 3 aibu ilipoisha alirud, ila huduma mara nyingi wako wasaidizi wake.
Mimi nipo hapa mpitimbi mission nacheza dogoli huku nikiwa na bakuli la mbege,afu kwa mbali naona mbali naona akina mama wakicheza mandilu.
Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.
Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.
Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe
Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Bs
Li Songea
Kweli asee,huko Kigonsera anafuata niniIla wapi sio kwa kishambaa? Na huko kigonsera sec mjanja wee ulifuata nn? Unachekeshaaaa kweli