Karibuni Songea

Sijasema kwetu pazuri, Soma tena nilichoandika ndiyo vitu ambavyo niliviona nilipokuja huko

Wewe ujaona nimempa point 3 bibie Fetty wa Mfaranyaki hapo? Nimazur pia niliyoyaona ila vingine kama nimeandika vibaya ndiyo uje upinge
 
Bas sawaah
 
Hahaha eti Litui
Limamu
Mgazini
majina mengine bhana... Coca unapajua kwa diss?
Limamu nishawah fika uko ni njia moja ka unaenda Lusewa nilienda kwa ishu ya kununua mahindi miaka ya 2005
 
Hahaha eti Litui
Limamu
Mgazini
majina mengine bhana... Coca unapajua kwa diss?
Litisha, magagula, ngahokora, namatuhi, ndongosi, magwamila, nambendo, muhukuru, matimira, mpitimbi, mpandangindo.
upoooo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…