Karibuni Songea

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ulanzii nakunywa hata dumla 2 pekee anguu.
Duuuh wa ni balaa Dumila mbili kabisaaa jaman [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji188][emoji188]
 
Asante.
I'm interested here. Hii ipoje
Hiyo mkuu sheria yake kabla ya kunywa inabidi iwekwe jikoni kidooogo ipate moto ili upate starter vizuri ukinywa. Niliwahi kunywa Mbinga kwenye kilabu cha manzese bondeni kule 2008 hiyo
 
Jamani huku mtuache wakunyumba, nyie ambao kwenu ndo kuzuri na kwa kijanja sio shida zetu, mbna mnatesekaa sanaaa??

Mtuacheeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilipita hapo wakat naenda Kigonsera sec mwaka 2016 ni mji flani hivi wa kishamba sana
Ila wapi sio kwa kishambaa? Na huko kigonsera sec mjanja wee ulifuata nn? Unachekeshaaaa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kipindi cha kiangazi kama ni mtu wa peku peku funza unao.
Ila kitimoto ya songea ni tamu balaa unakula nyama unasikia harufu ya nguruwe, sio dar unakula nyama uku unasikia harufu ya panadol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuh wa ni balaa Dumila mbili kabisaaa jaman [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji188][emoji188]
Dumla 2 namaliza ulanzii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani huku mtuache wakunyumba, nyie ambao kwenu ndo kuzuri na kwa kijanja sio shida zetu, mbna mnatesekaa sanaaa??

Mtuacheeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna tuzungumze kwa hoja na ukweli toa hoja itapendeza zaidi
 
Hamna tuzungumze kwa hoja na ukweli toa hoja itapendeza zaidi
Hoja gani unataka?? Kwani ktk huu uzi umeona watu wana compare na sehemu ingine? Hapa tupo wakunyumba na wanaoishi hapa tunazungumzia sehemu yetu.

Nyie ambao mna sehemu zenu nzuri, na za kijanjaa sisi sio shida zetu.

Kwahiyo kwa kuwa kwetu bushi na hakuna cha maana (km ambavyo mnadai) bas tusipazumgumzie? Kheeeh na nye mkazungumzie hizo sehemu zenu nzuri na za kijanja. Wala hakuna anae wazuia.

Mtuachee bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…