ndalibanyo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 430
- 427
π π π π π Nenda kwa mzee kajomela kule mshangano/chandarua huukosi msimu woteulanzi mie nagema mwenyewee, mbeta natengeneza mwenyewee. Nikaa chini kunywa aaah mdogo mdogo, robo zinakata tyuuh hadi dumla 2 fyaaa.
Nimepewa direction maeneo ya Lipupuma s/msingi kwa mzee nani sijui ila nitauliza nifike, anao wa kutosha by badae naenda kuzimua mkuu@
Nenda kwa mzee kajomela kule mshangano/chandarua huukosi msimu wote
Naomba usikilizweSongea itabaki kuwa mkoa wangu wa kihistoria,Rest in peace mzee Ok (Ok Hotel)jirani na Krista Park, Songea mjini mtamu sana
ππ Asante kwa kuleta uzi wa wanasongea,naijua Songea in and out mengine tuyaache humu humuNaomba usikilizwe
π Hukosi paleNimepewa direction maeneo ya Lipupuma s/msingi kwa mzee nani sijui ila nitauliza nifike, anao wa kutosha by badae naenda kuzimua mkuu
Asante. Nimelikumbuka jina la huyo mzee anaitwa mzee MgayaHukosi pale
Tuishi naoAsante kwa kuleta uzi wa wanasongea,naijua Songea in and out mengine tuyaache humu humu
@
Nenda kwa mzee kajomela kule mshangano/chandarua huukosi msimu wote
Pia mtin Pub yake.Songea itabaki kuwa mkoa wangu wa kihistoria,Rest in peace mzee Ok (Ok Hotel)jirani na Krista Park, Songea mjini mtamu sana
Songea mjini hasa pembezoni, bombambili had msamala, guest had za buku 3 zipoooJamani huku mnakunywa pombe khaaa!!
Mbinga kila kona bar au banda la kitimoto
Na hii ya kuwa na ma lodge/gest kila kona ni wazi kuwa wadau wanapenda kunyanduana
Ulikuwa na unaishi mahenge kalibu na Juma pandu??Wee jamaa umenikumbusha mbali sana. Nimeiona mitaa ya home umeitaja hapo furahastoo hahaaa. Kanisa la biblia pale tulikuwa tunaiba sana faraj faraj enzi zetu. Na kule kwa masista misheni ya st alois iba sana ndizi.
Disko paradise kwa ngongi, mbicu au kahawa club kiwandani na ruvuma inn. Hahaaa. Sasa hivi naskia imebadilika sana sijaenda like 20yrs asee.
Hata hizo lodge zina bei basiSongea mjini hasa pembezoni, bombambili had msamala, guest had za buku 3 zipooo
Famchezo nn.
Asante.Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Ni kweli haijachangamka Songea haina majengo mazuri wala starehe nyingi..ila binafsi nimependa utulivu,hali ya hewa safi ,ardhi nzuri yenye rutuba y, kutosha na utafutaji wa maisha kama ukiwa na connection Dar unachomoka haraka.Umemaliza nashangaa wangoni wanavyojisifia hapo juu
Nimekaa Wiki mbili huko kwa kishamba sana, kiwanja ni La charz tu kwahy watu wote mji uwo utawakuta hapo afu ni sehem ndogo
Mji hauna mishe mishe, mishe hadi misimu ya mazao
Hapo ukiwaondoa Wanajesh kamb za chabruma sijui Ruhuwiko na kamb zingine zile km unaenda mbinga na ishu ya makaa ya mawe panakuwa Dormant town.
Maana wanaume wa huko wanashindwa kulipa Bill wakiingya kwenye kumbi za starehe coz hawana cash.
Kama Hapo Lacharz inajaza askar na watumishi wengine siyo wenyeji na ukimuona mgeni ameingiya la charz ujue anunui bia anaingy amelewa kutoka nje.
Kuhusu totoz hatari, where you are Fetty wa mfaranyaki? demu flani anajua hatari, ila amechuja itakuwa maana anagawa vibaya mno
Kiwanja changu kilikuwa Eliza Liquor store. Nilichukua chumba sehem flan wanaita zwangendaba