Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,754
- 3,427
- Thread starter
-
- #261
Ninashindwa kuupload ila ingia Youtube search "sokoine madeni"
Kula chuma
Pia search "namchunga komba okoli" hukohuko mjini YouTube
Disco lingine lilikua mahenge kule la jeshi linaitwa MessNiliishi jirani na S/m Misufini. Zaidi ya miaka 10 niliishi Songea.
Buhemba (ndani ya shimo)ilikuwa ya moto sana.Pia majimaji na Deluxe, Ndiyo yalikuwa maeneo ya kujidai.
Hadi naondoka msanii maarafu alikuwa Zed M, Salatoga na Pablo killer. Sijajua muendelezo wao.
Nimekumbuka Pitiku na Mdojolela. Daah!
Dah umenikumbusha mbali sana!!Jamani kama kuna mwenye nyimbo za kingoni zile za lizombe atupie basi
Yaani mwenye Mwanne mkota kunionollea wivu mkae na kujua daaah nimeisahaaau kdg
Hapo ni kama masaa 6 au 7. Lami ipo kote nilipita mwezi wa 2Hivi kutoka Masasi mpaka Songea ni masaa mangapi? kuna lami kote?
Kumbe ni mbali, mara nyingi hua naishia MasasiHapo ni kama masaa 6 au 7. Lami ipo kote nilipita mwezi wa 2
Nami ninazitafutaJamani kama kuna mwenye nyimbo za kingoni zile za lizombe atupie basi
Yaani mwenye Mwanne mkota kunionollea wivu mkae na kujua daaah nimeisahaaau kdg
Yeaaah ni pazuri mnooo, mie napenda kulala kwenye zile beds zilizo pembezon mwa swimming pool.Naona ukija safari hii hunt club patakoma. Sijawahi kuingia ila nasikia pazuri watu wana swimm tu kwenye pool
Veronica Komba yupii? Maana mie naemjua ni mwalimu wa sec,Cocastic ntafutie dd mmoja anaitwa Veronika Komba yuko Hapo town alimaliza Mkawa Complex 2005 HGL
Nikitua mbinga nakutafutaNipo uwanja wa ndege,s/m huruma
Jamani kama kuna mwenye nyimbo za kingoni zile za lizombe atupie basi
Yaani mwenye Mwanne mkota kunionollea wivu mkae na kujua daaah nimeisahaaau kdg
Masaa 7, lami ipoo.Hivi kutoka Masasi mpaka Songea ni masaa mangapi? kuna lami kote?
KaribuNikitua mbinga nakutafuta
Habari jaleleno? Unajibu inyaewamatengo;habari hoteeeeee ee ,habari jaaa lukeraaaa eee halafu unasalimiwa huku wamepiga goti
Nakerekwa coz kwenye masherehe zinapigwa hizo nyimbo,wanacheza wenyeweSiku hizi kuna wasanii wanaimba kwa Kimatengo kabisa
Lizangati ni ngoma ya wapiNakerekwa coz kwenye masherehe zinapigwa hizo nyimbo,wanacheza wenyewe
Mie napenda sherehe za kingoni, zikipigwa zile nyimbo zetu, bas nafunga khanga kiunoni, nikianza kusasambua hapo hadi hoi.Nakerekwa coz kwenye masherehe zinapigwa hizo nyimbo,wanacheza wenyewe