Negrodemus JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 2,318 Reaction score 688 Mar 18, 2014 #21 MankaM said: Honey Faith hiyo mboga moja ya majani chungu balaa sijui hata niielezeaje Click to expand... Huo mkalifya ukamix na mboga nyingine ukatoa kitu cha msapulo ukishushia na ulanzi si mchezo ni balaa.
MankaM said: Honey Faith hiyo mboga moja ya majani chungu balaa sijui hata niielezeaje Click to expand... Huo mkalifya ukamix na mboga nyingine ukatoa kitu cha msapulo ukishushia na ulanzi si mchezo ni balaa.
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,070 Mar 20, 2014 #22 Negrodemus said: Huo mkalifya ukamix na mboga nyingine ukatoa kitu cha msapulo ukishushia na ulanzi si mchezo ni balaa. Click to expand... Mamaa yangu weee ni shida
Negrodemus said: Huo mkalifya ukamix na mboga nyingine ukatoa kitu cha msapulo ukishushia na ulanzi si mchezo ni balaa. Click to expand... Mamaa yangu weee ni shida
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Mar 20, 2014 #23 Mtu kutoka Iringa mjini naomba kuuliza kuna yule dada kichaa, alikuwa anaitwa Merina. Bado yupo?
Negrodemus JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 2,318 Reaction score 688 Mar 24, 2014 #24 Ulanzi ni dawa ya minyoo. Hivyo kwa watumiaji wa hiyo bidhaa hakuna ulazima wa kunywa mabendazole
Zimba XXV JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,786 Reaction score 4,128 Oct 14, 2019 #25 Upate huo Msapulo uliokolea pilipili za kutosha nyama ya mbuzi choma Mkangafu kwa sana Baridi ya hapa hata si sikii Negrodemus said: Huo mkalifya ukamix na mboga nyingine ukatoa kitu cha msapulo ukishushia na ulanzi si mchezo ni balaa. Click to expand...
Upate huo Msapulo uliokolea pilipili za kutosha nyama ya mbuzi choma Mkangafu kwa sana Baridi ya hapa hata si sikii Negrodemus said: Huo mkalifya ukamix na mboga nyingine ukatoa kitu cha msapulo ukishushia na ulanzi si mchezo ni balaa. Click to expand...
maji ya gundu JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 3,096 Reaction score 4,758 Oct 15, 2019 #26 Negrodemus said: Kipindi maalumu tunaita wa msimu kila baada ya siku 2 huwa natumiwa ulanzi kwenye abood kutoka iringa kuja dar. Napamiss sana ipogoro home sweet home. Click to expand... Ulivotaja ipogolo moyo umelia paaa maana mi nko kwa mwagongo apa
Negrodemus said: Kipindi maalumu tunaita wa msimu kila baada ya siku 2 huwa natumiwa ulanzi kwenye abood kutoka iringa kuja dar. Napamiss sana ipogoro home sweet home. Click to expand... Ulivotaja ipogolo moyo umelia paaa maana mi nko kwa mwagongo apa
valent JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 664 Reaction score 878 Oct 15, 2019 #27 maji ya gundu said: Ulivotaja ipogolo moyo umelia paaa maana mi nko kwa mwagongo apa Click to expand... Hahahah
maji ya gundu said: Ulivotaja ipogolo moyo umelia paaa maana mi nko kwa mwagongo apa Click to expand... Hahahah
valent JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 664 Reaction score 878 Oct 15, 2019 #28 Bila shaka ndo unapiga ulanzi hapo kwa mwagongo kilabu Mkuu!... maji ya gundu said: Ulivotaja ipogolo moyo umelia paaa maana mi nko kwa mwagongo apa Click to expand...
Bila shaka ndo unapiga ulanzi hapo kwa mwagongo kilabu Mkuu!... maji ya gundu said: Ulivotaja ipogolo moyo umelia paaa maana mi nko kwa mwagongo apa Click to expand...
maji ya gundu JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 3,096 Reaction score 4,758 Oct 15, 2019 #29 LALIKA NICOLAUS said: Bila shaka ndo unapiga ulanzi hapo kwa mwagongo kilabu Mkuu!... Click to expand... Hapana mkuu ulanzi wa saizi sio mzuri sana unaeza kukatisha leseni kilazima
LALIKA NICOLAUS said: Bila shaka ndo unapiga ulanzi hapo kwa mwagongo kilabu Mkuu!... Click to expand... Hapana mkuu ulanzi wa saizi sio mzuri sana unaeza kukatisha leseni kilazima
Negrodemus JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 2,318 Reaction score 688 Oct 15, 2019 #30 maji ya gundu said: Ulivotaja ipogolo moyo umelia paaa maana mi nko kwa mwagongo apa Click to expand... Wasalimie sana hapo
maji ya gundu said: Ulivotaja ipogolo moyo umelia paaa maana mi nko kwa mwagongo apa Click to expand... Wasalimie sana hapo