BenKaile
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 443
- 376
Nahisi kwa sasa system zimebadilika kidogo ila nadhani wakati mnajisajili uliweka pia e-mail yako kwenye informations kwahiyo wakishatoa selections wanatuma na email kwako. Ila pia ukifika either kwenye center yako kama uko mkoani au kama unaishi DSM fika Headquarters pale Kinondoni Biafra watakupa feedback kamili au tembelea website ya chuo huwa wanatoa kule pia majina au tangazo kuwa ni lini. www.out.ac.tzWalio apply may majibu yanatoka lini boss?