Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,372
- 111,695
Alinyimwa kibali cha kuukata huo mti?
Pia inaweza kuwa mti una masharti yake atii...
Ukiukata tu wakutwa na mauzauza...
Alinyimwa kibali cha kuukata huo mti?
Pia inaweza kuwa mti una masharti yake atii...
Ukiukata tu wakutwa na mauzauza...
Km ule MWEMBE katikati ya lami pale barabara ya kinondoni mahakamani
Upuuzi mtupu
Kwani ulifikiri ni ya nani kama si yake!
safari moja huanzisha nyingine
labda anatafuta kaupenyo amwage masongi yake
Km ule MWEMBE katikati ya lami pale barabara ya kinondoni mahakamani
kila akiniona ni kunichokoza tu ...
Mbona aneleweka!Umeandika nini.
swissme
huo mti labda usikue tena.. jamaa alifkiria tundu za hiyo nyumba zinakuwa?
safari moja huanzisha nyingine
labda anatafuta kaupenyo amwage masongi yake
Mwambie asikuongezee foleni
Mbona aneleweka!