Karibuni Mshangae Mafia

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
12804845_1594293987498239_3372763832223393486_n.jpg
 
  • Thanks
Reactions: ydn
shotophopu
MKUU UMESHAONA LIVE MAPANGO YA AMBONI? TUKIKULETEA HAPA UTASEMA PHOTOSHOP JINSI KULIVYO NA VITU VYA KUSHANGAZA HALAFU VIMETOKEA NATURALLY. KUNA RAMANI YA AFRICA IMEJICHORA, BIKIRA MARIA, MALAIKA BAGRIELA, MSIKITI, BIBLIA, PICNIC,MLANGO WA NDEGE, SANAMU ILE YA NEW YORK NA MENGINEYO MENGI. INASEMEKANA HIVYO VITU VIMETOKEA NATURALLY. HATA HIYO PICHA INAWEZA KUA ORIGINAL
 
Hebu tuwekee mkuu kama unazo.
 
hilo jina la mafia lilitoka wapi na kuna uhusiano gani na mafai wenyewe
 
Back
Top Bottom