Ngororo
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 235
- 414
Utakua marangu mtoni kwa Clara nini mkuu.Xmass ntakua marangu mtoni
Utakua marangu mtoni kwa Clara nini mkuu.Xmass ntakua marangu mtoni
Kumbe ndio maana umeadimika hapa jukwaani, usharudi kwenu Kishumundu eeeh?[emoji848][emoji848]International local brew.
Saivi naitumia kama dozi huku migombani.
Bado kule nimeenda kiroho, kimwili niko na wasambaa.Kumbe ndio maana umeadimika hapa jukwaani, usharudi kwenu Kishumundu eeeh?[emoji848][emoji848]
Yakutosha mkuuMkuu hiyo socket ina moto nije na charge yangu ya iphone
Inamaana umekimbilia usambaani baada ya kutoroka Milembe day? Anyway tar.23 unishtue twende wote Kishumundu tukanywe mbege na kisusio[emoji6]Bado kule nimeenda kiroho, kimwili niko na wasambaa.
Nasubiri dozi iishe kwanza.
Kiruuuuuu, tayari mkuuMkuu tayari umeshatoa Kafara mbuzi?
[emoji23] [emoji23] mseseweInalewesha...hasa iwe na msesewe wa kutosha
😁😁😁Kiruuuuuu, tayari mkuu
Upate ile mbege ogg made from moshi soil...inakuwa na sambo ni balaaaaa kama sio wiuwiu[emoji23] [emoji23] msesewe
Aisee, kwa haya maji ya huku ya kuoga yanavyonukia nafikiri kuna haja ya kwenda kishumundu tar 2 January na kugeuza siku hiyo hiyo, nasikia kuna baridi sana.Inamaana umekimbilia usambaani baada ya kutoroka Milembe day? Anyway tar.23 unishtue twende wote Kishumundu tukanywe mbege na kisusio[emoji6]