donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Goba hiyo wakuu wanaita triple B
Karibu mbee*****...kitu hiyo...nakuja nakuja mkuu!
Aika mnama..Karibu mbee
Mbege kwenye glass hata hainogiGoba hiyo wakuu wanaita triple BView attachment 973006
Mkuu najua december hii wap hyo rombo ,marangu au kibosho?Goba hiyo wakuu wanaita triple BView attachment 973006
Mbege kwenye glass hata hainogi
Xmass ntakua marangu mtoniMkuu najua december hii wap hyo rombo ,marangu au kibosho?
Aiseee kutoka hapo marangu mtoni...kwenda mwika..pembezoni mwa barabara kuna bar nyingi mpyaXmass ntakua marangu mtoni
Nazipata mkuuAiseee kutoka hapo marangu mtoni...kwenda mwika..pembezoni mwa barabara kuna bar nyingi mpya
Ya kny glass huwa tunaweka K-vant wakuu.Mbege kwenye glass hata hainogi
HahahahaInternational local brew.
Saivi naitumia kama dozi huku migombani.
Inalewesha...hasa iwe na msesewe wa kutoshaMbege inalewesha au
Nimekunywa mbege apo nikiwa kama niliye zaliwa kwenye jiko la mbege hii mbege kuna wine mbaya imechanganywa wanywaji wa mbege wakiangalia wataona kama ina rangi nyekundu kama red wine fake achani kuchangamya mbege na pombe nyingine acheni wateja wachanganye wenyeweGoba hiyo wakuu wanaita triple BView attachment 973006
Kudadeki nakuja kuhesabiwa mnipokee kibosho.Goba hiyo wakuu wanaita triple BView attachment 973006
Kibosho ipi mkuu....kirima au umbwe?Kudadeki nakuja kuhesabiwa mnipokee kibosho.
Goba hiyo wakuu wanaita triple BView attachment 973006