Mbege ni moja ya pombe safi sana ya asili

Mbege ni moja ya pombe safi sana ya asili

Sema mbege inayotengenezwa kuanzia hapo mkuu kurudi mamsera,mwika,marangu nenda hadi kibosho huko ,hao wanatoa kitu Quality sana , kitu fulani hivi kinafoka Povu fulani hivi kama Safari lager dadeq.... Huko maeneo ya useri,tarakea border mbege zao wanachakachua sana ,Haina ile quality ya TbS😜😜🫵.
Screenshot_20261001-204753~2.jpg
 
Npo hapa lawate wilaya ya siha.nakunywa mbege hapa na wazee wangu hapa wa kileo. tupo hapa nje tunavuta upepo nje tukizogoa na wazee wangu.
Pombe ya kienyeji nzuri zipo iringa pekee
1) komoni au Wugimbi
2) Kihambule
3) Ulanzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom