Karibuni matunda ninakula jamani

Karibuni matunda ninakula jamani

480181_501568379881477_680869071_n.jpg

Tufaa la Kiunguja halipo hapo!
 
nataka doriani.........nani anajua mahali nitapata doriani........

Huko yaeda chini sijui km yanapatikana :smiling:. Km uko Dar, jaribu kupitia soko la Kisutu au muombe mtu anayekwenda Znz akuletee.
 
Back
Top Bottom