karibuni Masters Pub,Mikocheni

Last edited by a moderator:
mke wangu unajua nakupenda,shida nini,kwani kwenye friji kimepungua nini,gari yako haina maafuta? Simu haina credit? Hujavaa nguo mpya? Tulizana The secretary!

Khaa?nguo mpya hata watoto wanavaa yako wapi mapenzi yoyooooooooo
 
Last edited by a moderator:
Pub marhaba,live band,warembo wa kumwaga,vich.upi nje nje na kaza wa kaza,wakware wote karibuni tujimwage,hilo libaba tumbo kubwa mtakaloliona kaunta ndo bishanga,bill yote juu yangu.

mikocheni kwa sehem gani...hebu toa maelekezo fresh kabisaaaa
 
uzee mwisho mlandizi downtown hela yako tu,ka vipi unaitwa baby,eti Nivea?
beibi Bishanga huyo B'REAL ana kichaa eti wewe mzee???kwikwiwkwi uzee mwisho njia panda ya segeraa au mizani ya kwanza ukitoka chalinze kuelekea moro .sasa hivi data zinaonyesha uzee umesogezwa nyuma
 
Last edited by a moderator:
beibi Bishanga huyo B'REAL ana kichaa eti wewe mzee???kwikwiwkwi uzee mwisho njia panda ya segeraa au mizani ya kwanza ukitoka chalinze kuelekea moro .sasa hivi data zinaonyesha uzee umesogezwa nyuma
nevia bana...haya basi bishanga check bobuu
 
Siyo umbea ni taarifa mi nitatoa mwongozo
ha haaa, kuna mwenzenu huko kapiga mkwara anatokea tanga, ataroga mtu akimkuta na Diamond wake........
chezeya kuwa na play boy/man wewe...... hakuna rangi utaacha kuiona
hivi Bishanga ni boy au man?
Mamndenyi na pacha wangu Nivea naomba jibu tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…