Karibuni marafiki zangu

Karibuni marafiki zangu

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,887
Nimeona niwaalike hapa kwa Mromboo tupate mbuzi kidogo.

Njooni tutafakari mustakabali wa taifa letu, kama vijana tutalikomboa vipi.
 
Attachments

  • 1440928767309.jpg
    1440928767309.jpg
    56.4 KB · Views: 782
  • 1440928784471.jpg
    1440928784471.jpg
    50.5 KB · Views: 633
Dah!!! Embu agiza na safari ya baridi niko shamsi hapa nakuja
 
Nimeona niwaalike hapa kwa Mromboo tupate mbuzi kidogo....
Njooni tutafakari mustakabali wa taifa letu........kama vijana tutalikomboa vipi........

ndo wapi huko nije.... mi mgeni huku
 
Nimeona niwaalike hapa kwa Mromboo tupate mbuzi kidogo....
Njooni tutafakari mustakabali wa taifa letu........kama vijana tutalikomboa vipi........
Preta mi niwekee martucy tuu ni vitamins tupu ile makitu Halafu ladha yake wanga tupu
 
Last edited by a moderator:
Preta mi niwekee martucy tuu ni vitamins tupu ile makitu Halafu ladha yake wanga tupu

Nakusemea kwa naniliu sasa subiri urudi unanukia nyama uone kule kwetu huwa tunatabia mumeo akirudi ukimuandalia chakula kama hataki unamnusa mkono kama kala mahala ole wako uwe unanukia chakula leo utabembeleza mtoto peke yako usiku au kuna kidogo alafu uoshe mikono vizuri 😜😜😜😜😜😜
 
Uuuwiii farkhina iokoe ndoa yangu sitaki kuharibu tena taingilia mlango gani Angel Nylon akipita huku?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha.......wameniambia ni boost ya baba........wabaya hawa watu............

🙈🙈🙈🙈🙈🙊🙊🙊👍👍👍👍👍👍
 
Back
Top Bottom