Ningekuwa na mkwanja sio wa kususa sua.. Yule demu ningenunua!
Sure mzee.. Mungu ajalie!ONE DAY YES.....kwani nn bwana.?...pesa ndo kila kitu....
Sure mzee.. Mungu ajalie!
Ni bahati mbaya au nzuri?Bahati mbaya huko kote nimeshafika!
We unaonaje mkuuNi bahati mbaya au nzuri?
Naona kuwa ni bahati nzuri kufika huko.We unaonaje mkuu
Hebu itumie na kwangu mkuuCheck whatsap yko nmekutumia tangazo la mariam birian, Ana promote louge moja tbt
Mauchokozi kibao#tetema nyingi[emoji23][emoji23]
Ova
Nami uniunge mkuuNipe no yako PM... Ningeweka link lakini naweza kuadhibiwa kwakuwa kanuni za JF haziruhusu
Kutoka barabara kuu ya kwenda Tanga mpaka Magoroto ni KM ngapi mkuu?
[emoji108][emoji106][emoji120][emoji120]Aise... Mambo ya Soni waterfalls... Pango la Mjerumani, barabara ya kale kuliko, kona za hatari, gereza la kale na kituo cha polisi cha kale... Irente view na mambo zaidi ya hayo. Nimesoma Sekomu sema chuo kimefungwa tukahamishwa, but mazingira ya Lushoto yako poa sana
Jibu na swali kuntuKuna sehemu kasema anataka kuonesha kalio zake?