Karibuni Lushoto : Amazing picnic

Karibuni Lushoto : Amazing picnic

Posh mkono wake huo pajani una matege au ndio editing.?
 
Natamani sana kufika huko. Mdogo wangu alisoma Kifungilo na kumaliza 2016, nilitamani kufika maeneo hayo sikufanikiwa.
 
Atanisaidia. Nin huyu pimbi au kuziona kalio lake tu
 
Aise... Mambo ya Soni waterfalls... Pango la Mjerumani, barabara ya kale kuliko, kona za hatari, gereza la kale na kituo cha polisi cha kale... Irente view na mambo zaidi ya hayo. Nimesoma Sekomu sema chuo kimefungwa tukahamishwa, but mazingira ya Lushoto yako poa sana
 
[emoji108][emoji106][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom