Karibuni lunch

Karibuni lunch

Katika pita pita zangu kuzisaka maeneo ya kitalaka wilaya ya Itigi kifungua asubuhi ni ugali na mlenda. Msukuma mmoja wake wanne watoto wasiopungua semanini chai haiwatoshi. Hawajawahi kusikia chai. Wakimaliza ugali wanatinga shamba mpaka jioni. No lunch hakuna kula kula kila saa kupoteza muda wa kazi.

Asubui yote hii? Ukimaliza huo ugali unalala usingizi wa pono.
 
Dah msosi wa maana huo. Hapo kwenye kachumbari ndo nimedondokwa na mate kabisa.
 
8e7961c8884e68c5d396e142c0f0aaea.jpg

Yaani apo nkishashiba nipate kimkeka niweke nje kwenye mti nilale maana si kwa mlo huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom