swaki la jiti
Member
- Oct 6, 2017
- 97
- 60
Japani hiyo...Lanchi ya wapi hiyo jombaa? Maana sa hivi ni asubuhi saa nne kasoro....
Empty brain kabisa
Maandalizi mapema jombaLanchi ya wapi hiyo jombaa? Maana sa hivi ni asubuhi saa nne kasoro....
Asubui yote hii? Ukimaliza huo ugali unalala usingizi wa pono.
Japani hiyo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Japan mmetisha, sio kwa mkeka huo.
Cheap wasted sperm*** you ho.
Cheap wasted sperm
hahaha unapenda ugomvi weweeZitwangweni basi tumwite Sirro, ni demu au pesa?!
hahaha unapenda ugomvi wewee
haya choraa....ngoja nkachukue popcorn mmToo much arifu, kama vipi mstari uchorwe zipigwe tu.
Hii kauli yako imenikumbusha primary kwetu Musoma,kitu ngumi ilikua ni desturi kila siku tutokapo shule,my mama alikua anapata tabu ya kufua shati lililochafuka damu kila siku,oh!!Ewe Mungu mpe mamaangu maisha marefu..now nimekua baba bora sana!Too much arifu, kama vipi mstari uchorwe zipigwe tu.