donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
-
- #21
SaanaWakikaushwa vizuri watamuu kuliko Senene.
Mi naugali ndio nawaelewa sanaWazuri pia ukila na ndizi mzuzu za kuchoma.
HahahaYaani hao hata wakiwa hai sitakagi hata wanikaribie.
Sahihi mkuu, mi mwenyewe Mara ya kwanza nliwala hukoHao nimewashuhudia wakiuzwa kwenye soko la mpakani mwa tunduma (Tz) na nakonde (zambia), inasemekana kuwa ni watamu na wanaliwa hivyohivyo wakiwa wamekaushwa.
Duh! Vipi wapo vizuri???? Maana mie niliishia kuwaangalia tu yaani.Sahihi mkuu, mi mwenyewe Mara ya kwanza nliwala huko
Ila teseme ukweli mnaowala hao chavi chavi mna roho ngumu kweli mweeeeee![emoji41]Sahihi mkuu, mi mwenyewe Mara ya kwanza nliwala huko
Teh teh.Ila teseme ukweli mnaowala hao chavi chavi mna roho ngumu kweli mweeeeee![emoji41]
Mkuu hata kama ni dawa ya Ngoma hutakula!!?Sili hats km n dawa!
Duh "LIA MWIDEBE" Toka mkoa gani huo mkuu ?
Wazambia wanakula
Ova
Kwa hiyo akina kalusha bwalya,John soko,Mulenga,malitoli,eford chabala, Kaunda ndio msosi wao?Wazambia wanakula
Ova