Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Hapo jihadhari sana na mamba !!!
![]()
Hawa wadudu nyama yao tamu sana.
Nimefika mara nyingi sana kwa yule jamaa. Kimsingi ufugaji wa mamba ndio 'means of livelihood' ya yule jamaa. na kama ulivyoona anao wengi sana.Nasikia hivyo. Ila bado sijabahatika kula nyama yao.
Kule Bagamoyo kuna jamaa wanafuga mamba kibiashara !!
Nasikia kilo moja ya nyama ya mamba ni Tsh. 150,000 !!!!!
Nimefika mara nyingi sana kwa yule jamaa. Kimsingi ufugaji wa mamba ndio 'means of livelihood' ya yule jamaa. na kama ulivyoona anao wengi sana.
Hapo jihadhari sana na mamba !!!
![]()